Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

9P140 Uragan 220mm multiple rocket launcher ya Urusi imekamatwa Kherson
20221006_222508.jpg
20221006_222511.jpg
 
9P140 Uragan 220mm multiple rocket launcher ya Urusi imekamatwa Kherson
View attachment 2379198View attachment 2379199
Mbona hili dude linaonekana kama ni chakavu vile? Mrussi anayo kila sababu ya kukung'utwa. Yaani kila kitu cha Mrussi ni gagari - askari wachovu, vifaa chakavu na vya zamani, mbinu zake shaghalabaghala ila kutimua mbio na kutelekeza mizigo ah! Alhamdulillah hajambo.
 
Mbona hili dude linaonekana kama ni chakavu vile? Mrussi anayo kila sababu ya kungutwa. Yaani kila kitu cha Mrussi ni gagari - askari wachovu, vifaa chakavu na vya zamani, mbinu zake shaghalabaghala ila kutimua mbio na kutelekeza mizigo ah! Alhamdulillah hajambo.
Kumbuka hii imeletwa kuua. Sio mapambo Mkuu..
 
Back
Top Bottom