figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #6,821
Angalia Ukraine wanavyo kinukisha Kherson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
docs.google.com
Aiseee sasa hivo vibati ndo vizuie risasi?Kofia wanazovaa Frontline wa Urusi
View attachment 2377836
Aisee hii babu kubwa sana.Hii bunduki inaitwa EDM4S Sky Wiper. Inavuta drones za Adui. Inachofanya inatengeneza sumaku na kukata mawasiliano ya remote. Sumaku inavuta drone hadi inafika chini. Unashikilia trigger huku mtutu ukiwa umeelekezea drone hadi itakapofika chini.
View attachment 2378345
Ver very greenishMaeneo ya Kherson
View attachment 2378505
Kumbe ndo maana Mrussi kapachagua hapo ili kujilia mema ya nchi kiulaini.Ver very greenish
Wanajeshi wengi wa Ukraine huwa naona wanakuwa na limkasi hapo mbele ni kwa ajili gani?Morana akiwa Frontline
View attachment 2378382
Ni sahihi. Hakuna vifaa vya Mrussi Ukraine bali kuna vifaa vya Ukraine ambavyo Mrussi aliwadhulumu wana waUkraine. Kwa hiyo ni kurudisha mali iliyoibwa mahali pake.Ni Ruhusu kuiba vifaa vya Kijeshi vya Urusi ukiwa Ukraine
View attachment 2378279
Safi kabisa . Kila mmoja ajue na kuelewa wajibu wake na atimize lengo.Kugawana Majukumu kabla ya kuingia mzigoni. Kherson
View attachment 2378506
Aisee! Maeneo mazuri ya kilimo ila hii vita dah!. Anyway, mbolea inaongezwa hapo.Maeneo ya Kherson
View attachment 2378505
Huo mkasi unasaidia kuchana nguo pale mwanajeshi anapo jeruhiwa. Saa nyingi mtu anaumia kiasi kwamba kila anapoguswa makelele. Hivyo kumvua nguo wanachana. Kwaajili ya huduma ya kwanza. MfanoWanajeshi wengi wa Ukraine huwa naona wanakuwa na limkasi hapo mbele ni kwa ajili gani?
Mhhh! Ukraine bhana; Yaani weshazoea milipuko,risasi na moto kiasi kwamba wanapiga stori huku wanamsubiri mshenzi abweteke halafu ajilete wamshangazeAngalia Ukraine walivyopelekewa moto na Urusi kwenye handaki
View attachment 2378466
Asante kwa maelezo na kwa mfano.Huo mkasi unasaidia kuchana nguo pale mwanajeshi anapo jeruhiwa. Saa nyingi mtu anaumia kiasi kwamba kila anapoguswa makelele. Hivyo kumvua nguo wanachana. Kwaajili ya huduma ya kwanza. Mfano
View attachment 2378631
Lakini Mrussi si alishaambiwa kwamba wenzake wanatumia more advanced technology?Aisee hii babu kubwa sana.
Nimeiona Hadi shangazi ya kule Ukerewe. Aisee vita si lelemama.Maeneo ya Kherson
View attachment 2378505
Mrussi amewaingiza askari wake chaka. Hivo vibati ni makusudi ili risasi iwafumue mafuvu bila shida askari wa Kirussi kwani Putin mwenyewe au Maofisa wake hawavaagi hizo.