Au itakuwa ni moto wa fault ya umeme - electrical short circuit π π π Ukraine hawezi fanya hilo pana ulinzi mkali sana pale.Itakuwa bombing truck imepita juu ya mnara. Siyo ukraine πππ
Itakuwa kunguru tu wa ukraine kasababisha short ya umeme. ππππββοΈπββοΈπββοΈAu itakuwa ni moto wa fault ya umeme - electrical short circuit π π π Ukraine hawezi fanya hilo pana ulinzi mkali sana pale.
Ndio na zitajengwa kwa hela za wamarekani vilevileMmarekani anapenda sana vita. ..anamsaidia Ukraine halafu miundombinu ineharibiwa then vita ikiisha kampuni za wamarekani zinaenda jenga miundombinu ilioharibiwa na wamerekani wenyewe.hii dunia raha sana
Karibu sana toka tumeanza na kamba yetu hii tumesimama katika Haki, Kwa kuwa Mrusi ni mwonevu na sisi tunapenda haki tunasimama na Ukraine mpaka Mwisho.Yap leo mnyonge nipo home nimetulia...nimeamua kuacha kushabikia mpira wa vilabu vya ulaya sasa nahamia Ukraine πͺπͺπͺ
Unaziamini silaha za Russia? Yale madude haliywaamisha watu kuwa ni hatari yanatisha kwa kuyaangalia tu. Kimsingi hayana uwezo wa kufananisha na silaha za kisasa.Bado hajataka kuzitoa anasubiri NATO atoe zake ...mbona US anasita kutoa ATACMS kama kweli anadhani Russia kamaliza silaha
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sasa mlivyo shambulia daraja huko crimea mlikua mnawaza nini?Leo Kyiv tumeshambuliwa na Rockets 75 huku 41 zikutua kwenye Kikosi cha anga cha Kyiv.
Umesahau majengo na Infrastructures kibao ambazo Urusi ashaharibu huko Ukraine?Sasa mlivyo shambulia daraja huko crimea mlikua mnawaza nini?
Alafu unakuja baadhi humu wakilalamika kuwa Ukraine hakutakiwa kumshambulia daraja la Kerch. To me every Russian property/infrastructure is a legitimate target for Ukraine periodLeo Kyiv tumeshambuliwa na Rockets 75 huku 41 zikutua kwenye Kikosi cha anga cha Kyiv.
Huo ni udhibitisho anakiri kuwa daraja la Crimea limelipuliwa na makombora ya Ukraine. Hasira zake kazielekeza kwenye kuharibu makazi ya watu na miundo mbinu mingine.Leo Kyiv tumeshambuliwa na Rockets 75 huku 41 zikutua kwenye Kikosi cha anga cha Kyiv.
Naam; Wakati huo huo Mrussi atakuwa anayaganga majeraha yake kwa gharama ya kodi za wananchi wake mwenyewe.Ndio na zitajengwa kwa hela za wamarekani vilevile
Itafika wakati Ukraine naye atajibu mapigo ya Mrussi kwa mtindo huo huo.Huo ni udhibitisho anakiri kuwa daraja la Crimea limelipuliwa na makombora ya Ukraine. Hasira zake kazielekeza kwenye kuharibu makazi ya watu na miundo mbinu mingine.
Kuwa mpole tu bro; kwani Huyo jamaa dawa yake inachemka jikoni sio mda mrefu atainywa hata kama itakuwa bado ya moto atajua mwenyewe.kama tu daraja1limeshamvuliwa lkn moto wake ndio uko hivyo,vp km wakianza kushambulia ndani ya urusi km wanavyoshambuliwa saiv!!??
......To me every Russian property/infrastructure is a legitimate target for Ukraine periodAlafu unakuja baadhi humu wakilalamika kuwa Ukraine hakutakiwa kumshambulia daraja la Kerch. To me every Russian property/infrastructure is a legitimate target for Ukraine period
Mrussi anatoa ushawishi kwa Ukraine apige Mosco ili ipatikane sababu ya yeye Mrussi kutumia silaha za maangamizi au UN waingilie kati na Mrussi apate sababu ya kusitisha vita kwamba ni kwa shinikizo la UN.Leo Kyiv tumeshambuliwa na Rockets 75 huku 41 zikutua kwenye Kikosi cha anga cha Kyiv.