CIA mgumu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2022
- 962
- 1,934
Mkuu achana tu na Urusi itafanya nini, ila mie mwenyewe kwa vile nilivyowaaminisha watu kuwa week moja ni kibwa tutakuwa tumemzika Zele lakini hadi siku hii ya leo Super power yupo hoi🤣🤣🤣 naogopa kurudi kijiweni kwangu IturikeWakuu, hili daraja kulipuliwa na aibu kwa Urusi iliyodai inalilinda hili Daraja kwa Mitambo maalum. Halafu lilipo ni mbali na Frontline ya Ukaine ilipo. Hadi wikii iishe, lote litakuwa chini. Urusi watawaambia nini wafuasi wao?
View attachment 2380601