Kazi nzuri. Big up ukraine troops.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi nzuri. Big up ukraine troops.
well doneWakuu, upande mmoja daraja limeshuka. Tuliwaambia
View attachment 2380573
Mafuta kwa ajili ya vifaru vyao yameunguzwa. Reli hiyo haipitiki tena.Wakuu, hili daraja kulipuliwa na aibu kwa Urusi iliyodai inalilinda hili Daraja kwa Mitambo maalum. Halafu lilipo ni mbali na Frontline ya Ukaine ilipo. Hadi wikii iishe, lote litakuwa chini. Urusi watawaambia nini wafuasi wao?
View attachment 2380601
Hicho ndo walikuwa wanakitafuta. Warusi wanadai siyo makombora la Ukraine bali ni bomu limetegwa. Swali la kujiuliza daraja kubwa kiasi kile kwa ulaya nzima halina ulinzi mpaka mtu akatege bomu?Kidadeki. Shikamoo Ukraine. Kumbe Kombora linaweza fika Moscow. Kama wameshindwa linda hili daraja na yale mavifaa walipachika darajani sijui S-400 air defense system. Hazijaona kitu🤣🤣🤣 zipo outdated.
View attachment 2380721
Wanajitetea. Hata hivyo plan ilikuwa ni kulilipua, tutege bomu, turushe kombora au nyambizi. Leongo moja kukata mawasiliano na tumefanikiwa. Wataka kutupangia tubomoe kwa kutumia Sururu au?Hicho ndo walikuwa wanakitafuta. Warusi wanadai siyo makombora la Ukraine bali ni bomu limetegwa. Swali la kujiuliza daraja kubwa kiasi kile kwa ulaya nzima halina ulinzi mpaka mtu akatege bomu?
Huenda walitaka twende na mapanga kulikatakata daraja 😂😂😂😂Wanajitetea. Hata hivyo plan ilikuwa ni kulilipua, tutege bomu, turushe kombora au nyambizi. Leongo moja kukata mawasiliano na tumefanikiwa. Wataka kutupangia tubomoe kwa kutumia Sururu au?
Nilitamani pia daraja la Treni lishuke kabisa. Maana ndo linalopitisha supplies za kijeshi.Kidadeki. Shikamoo Ukraine. Kumbe Kombora linaweza fika Moscow. Kama wameshindwa linda hili daraja na yale mavifaa walipachika darajani sijui S-400 air defense system. Hazijaona kitu🤣🤣🤣 zipo outdated.
View attachment 2380721
Ikiwezekana leo usiku walimalizie daraja upande ambalo halijashuka. Ilifanyika timing nzuri sana kulipua wakati Treni inapita.
Waambieni wakimbilie kwa warusi wa kwa mtogole. Watawapokea tu.Warusi wameanza kuikimbia Crimea, Watapita wapi? Kila siku tunawaambia Ukraine sio kwao walikuwa hawaelewi
View attachment 2380604
Hebu toa maelezo ya mlipuko huo tafadhari. Umetunyima uhondo. Wengine tunapata furaha sana tunapoona maghala ya silaha za warusi yamelipuliwa. Kulipuliwa Crimea Bridge imetupa furaha kubwa sana leo.
Duuu, daraja lime share kabisa. Hata upande wa pili haliwezi kupitisha vifaru vyao.