Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wakuu, hili daraja kulipuliwa na aibu kwa Urusi iliyodai inalilinda hili Daraja kwa Mitambo maalum. Halafu lilipo ni mbali na Frontline ya Ukaine ilipo. Hadi wikii iishe, lote litakuwa chini. Urusi watawaambia nini wafuasi wao?
View attachment 2380601
Mkuu achana tu na Urusi itafanya nini, ila mie mwenyewe kwa vile nilivyowaaminisha watu kuwa week moja ni kibwa tutakuwa tumemzika Zele lakini hadi siku hii ya leo Super power yupo hoi🤣🤣🤣 naogopa kurudi kijiweni kwangu Iturike
20221004_061311.jpg
 
Hivi mnakumbuka hiki kikosi cha airborne assault brigade? Wao huwa hawaogopi Warusi. Wana Spika zao Frontline, wanawatandika huku wamewawekea Muziki wa nyimbo za kishujaa za wanajeshi wa Ukraine. Sema saa nyingine wanawatega Warusi, Wanaweka Spika juu ya handaki Warusi wanajua wapo hapo kimbe wamehama mapema. Ile wanajifanya kwenda kuwateka Urusi wanatokewa kwa nyuma wanalizwa. Walishazoea, Wana Spika nyingi Frontline.
View attachment 2380996
Ndioooooo tunawakumbuka mnooo safi sana
 
We are on the blink to nuclear war

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hivi Mkuu, nani hana Nyukilia? Halafu Mrusi anazo za kizamani. Wenzio wanazo mpya. Sababu ana nyuklia ndo aachiwe Ukraine? Tutapambana

Hata mwanzo walidai ana vifaa bora vya kijeshi, lakini tumekuta wa kawaida sana.
 
Back
Top Bottom