Inaelekea Urusi imeamua kubadili mbinu za mapigano.
1. Imeamua kupiga infrastructre za kiraia ili kuifanya serikali ya Ukraine ipate ugumu kufunction
2. Imeamua kuondoa "ukawaida"( normalcy) katika maisha ya Ukraine ili kuyafanya maisha yao yawe magumu na hivyo ama waweke pressure kwa serikali yao kuzungumza au kuwaondolea confidence
Solution ya haraka ambayo Ukraine anaweza kuifanya ni.
1. Kupata anti aircraft za maana kama patriotic batteries etc
2. USA kumpiga mkwara Belarus ili asiwe na "mshawasha" wa kupeleka majeshi Ukraine.
3. Marekani impe Ukraine Ndege za F-16 waanze kuchapa defense lines za urusi na kusaidia kulinda mpaka ule wa kaskazini kutokea Belarus.
4. Najua Ukraine uwezo wa kupiga ndani ya Urusi anao, lakini sijui kama hiyo ni good idea.
5. Ukraine azidi kupata ushindi wa kijeshi huko msitari wa mbele, Ushindi wa kijeshi wa Ukraine utafanya huu ugaidi wa Urusi uwe useless na pressure itamrudia Putin kama kawaida!