Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mbona mapovu mengi? Tulia unywe maji basi, maana haya sio maaba ni ujinga uliopitiliza.
 
Na ikitokea limepigwa eneo lilikuwa na raia ujue ultmatum ilishatolewa ya raia kuondoka kwenye maeneo husika, Na kama wasipoondoka wote wanajumlishwa kuwa ni askari.
 
Kama hayana umuhimu kwake, wewe unakaa unalalamikia kitu gani? Endelea kufurahia ushindi huu sio muda wako kulalamika
 
Siku hizi Warusi wamepunguza kutunza maroketi na silaha zao kwenye Maghala wakihofia HIMARS, wanazidistribute sehemu mbalimbali. Lakini baadhi yao zinaonwa na drones na kuharibiwa.
Hapa chini ni Video ya Silaha za urusi maroketi ya GRAD, yalipoonwa na Drone na kuharibiwa.

Your browser is not able to display this video.
 
Wakati huo Kremlin inawaza kupiga infrastructures za kiraia zaidi. Inataka waparalyse ufanyaji kazi wa serikali ya Kiev katika kudeliver huduma muhimu kwa wananchi na jeshi ili kulifanya Jeshi la Ukraine likose cordination frontline. Anayeongea ni ofisa wa Kremlin meenye dhamana ya mambo ya mahusiano ya kiethnic huko Russia.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…