Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu; kuna kitu fulani amazing naskia kimetua Poland kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. Hicho kitu ni kizito, ni cha hewani nasikia hata rada iweje haikioni. Ni cha USA. Kama una details hebu tumegee.
Wale Mablogger wa Poland walidanganya, tumefuatilia tukakuta ni uongo
 
Hawa ndo sasa wataisaidia sana Ukraine, maana watatumika kufundisha wengine ujuzi wa NATO, mwisho wa siku Jeshi zima linakuwa limebadili doctrine
Baada ya vita hii kuisha, Ukraine atakuwa mzuri sana kijeshi na atakuwa na silaha za kisasa za kujilinda. Litakuwa miongoni mwa jeshi Bora sana katika nchi za EU
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Huu uzi ni kujifariji tu, kichapo mnachochezea kila uchao mnalia lia kuhutumia mara msaada, wanaume hawana habari wanafanya mazoezi ya Pamoja huko sambamba na CHINA na IRAN.

Nyie ndio mnajua mko vitani, wenzenu wako kwenye SMO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na mkianza kupaza midomo wanawafumuaaaaa then wanaendelea na mishe zao.
 
Umekujaq huku una hela ya bando kuangalia clips....?
Huku hakuna ngonjera, mapambio wala majarida...
Tukutumie na ya kutolea...uweke bando
 
Mwanajeshi wa Urusi akipewa huduma ya kwanza baada ya kujisalimisha. Hii video itampa mwanga zaidi Farolito kuhusu matumizi ya ule Mkasi na vifaa vingine vya first aid kits ambavyo Wanajeshi wa Ukraine wanabebelea kifuani.
 
Back
Top Bottom