Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nichunguze nn, ndio nakwambia anaharibu tu, hata Libya huko, Iraq ndio usiseme alishusha makombora zaidi ya 500 jijini Baghadad tena usiku. Tafuta video yake uone. Unaongea kishabiki na kijinga sana.

Kisa huipendi Urusi basi unadanganya hapa?? Acha hizo mambo, ndio maana mnatolewa akili. Afghanistan ilishambuliwa mpaka mjini na ikaharibiwa vibaya sana.
Mbona mapovu mengi? Tulia unywe maji basi, maana haya sio maaba ni ujinga uliopitiliza.
 
Hapana mkuu. Urussi sio adui kwangu hata siku moja.-naipenda Urussi ILA NAKICHUKIA SANA NA SIUNGI MKONO KABISA KITENDO ALICHOKIFANYA CHA UVAMIZI UKRAINE.
Bila kuhamisha magoli, huko kote ulikotaja utakuta wanajeshi/wapiganaji wanajificha katika makazi ya raia na raia hao hao wanashiriki kwa namna fulani katika mapigano. Huko kote ulikotaja majengo husika yalikuwa yanatumika kuhifadhi silaha au ni RVs (mahali pa kujikusanya baada ya tukio la hujuma) kwa ajili ya wapiganaji. Huko kote ulikotaja uwepo wa jengo fulani mahali unakuwa ni kizuizi (Obstacle)kwa mtoa kipigo kwa adui. Kwa hiyo jengo linaondolewa kupisha utekelezaji wa kutoa kipigo.
Mashambulizi katika maeneo ya watu au yenye mikusanyiko ya watu wengi yaliyofanywa usiku ili kupunguza idadi ya vifo vya raia wasio na hatia.
Yapo maeneo ambayo hupigwa bila kujali kanuni kwa sababu - si askari , si raia pamoja na majengo yaliyopo vyote kwa pamoja vinakuwa ni kundi la ki-Adui i.e. huwezi kutofautisha askari na raia au majengo yenye silaha au wanapojificha askari.(Ni mseto au mixture).
Na ikitokea limepigwa eneo lilikuwa na raia ujue ultmatum ilishatolewa ya raia kuondoka kwenye maeneo husika, Na kama wasipoondoka wote wanajumlishwa kuwa ni askari.
 
Mkuu; Maamuzi hutolewa na watu kutoka vichwani mwao. Majengo ni fixed. Watoa maamuzi ni mobile -wanaweza kuhamia majengo mengine au hata wakaenda kukaa chini ya mti na wakaendelea kutoa maamuzi. Kinachozungumzwa hapa ni majengo yenye maslahi ya kivita i.e. Miundombinu ambayo ikiondolewa/ikiharibiwa majeshi ya adui yatatatizika au yatashindwa kutekeleza na kufikia malengo yake. e.g. daraja likibomolewa adui hawezi kusafirisha silaha au kupitisha support kupitia hapo darajani labda azunguke mbali. Maghala ya silaha ya adui yakiharibiwa silaha zitateketea na hakuna mahali tena pa kuhifadhia silaha labda kujengwe maghala mapya n.k. n.k.
Je; huko Kyiv alikopiga au majengo ya watoto n.k. kijeshi yana umuhimu gani kwake kivita ?
Kama hayana umuhimu kwake, wewe unakaa unalalamikia kitu gani? Endelea kufurahia ushindi huu sio muda wako kulalamika
 
Good morning. Kumekucha salama na mapambano yanaendelea Frontline
20221012_083925.jpg
 
Siku hizi Warusi wamepunguza kutunza maroketi na silaha zao kwenye Maghala wakihofia HIMARS, wanazidistribute sehemu mbalimbali. Lakini baadhi yao zinaonwa na drones na kuharibiwa.
Hapa chini ni Video ya Silaha za urusi maroketi ya GRAD, yalipoonwa na Drone na kuharibiwa.

 
Wakati huo Kremlin inawaza kupiga infrastructures za kiraia zaidi. Inataka waparalyse ufanyaji kazi wa serikali ya Kiev katika kudeliver huduma muhimu kwa wananchi na jeshi ili kulifanya Jeshi la Ukraine likose cordination frontline. Anayeongea ni ofisa wa Kremlin meenye dhamana ya mambo ya mahusiano ya kiethnic huko Russia.

 
Back
Top Bottom