Ni kama Mrussi kwa timbwili hili amejifunua. Wameshamwona kumbe hana boxer.Hii mbungi bado mbichii sana. Watu washapagawa , wacha West waendelee kuleta madude.
Huwezi kuvamia nchi huru kisa tu ujinga ujinga , alafu utoke salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo itakuwa ni b2 spirit tuMkuu; kuna kitu fulani amazing naskia kimetua Poland kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. Hicho kitu ni kizito, ni cha hewani nasikia hata rada iweje haikioni. Ni cha USA. Kama una details hebu tumegee.
Ni 🔨 🔨 💉 💉 kwa Mrussi endapo itaingia mzigoni kama ilivokuwa HIMARS🏃♂️Hiyo itakuwa ni b2 spirit tu
They will learn the hard waySiku hizi Warusi wamepunguza kutunza maroketi na silaha zao kwenye Maghala wakihofia HIMARS, wanazidistribute sehemu mbalimbali. Lakini baadhi yao zinaonwa na drones na kuharibiwa.
Hapa chini ni Video ya Silaha za urusi maroketi ya GRAD, yalipoonwa na Drone na kuharibiwa.
View attachment 2384553
Wale Mablogger wa Poland walidanganya, tumefuatilia tukakuta ni uongoMkuu; kuna kitu fulani amazing naskia kimetua Poland kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. Hicho kitu ni kizito, ni cha hewani nasikia hata rada iweje haikioni. Ni cha USA. Kama una details hebu tumegee.
Hawa ndo sasa wataisaidia sana Ukraine, maana watatumika kufundisha wengine ujuzi wa NATO, mwisho wa siku Jeshi zima linakuwa limebadili doctrineWanajeshi 10,000 wa Ukraine waliokuwa Mafunzoni Uingereza, leo wamehitimu na Wanarudi kuilinda Nchi yao. Moja kwa moja Frontline
View attachment 2384908
Asante - kazi iendelee.Wale Mablogger wa Poland walidanganya, tumefuatilia tukakuta ni uongo
Putin akipelekewa hiyo si atakesha usiku kucha anaharisha. Kama imesogezwa pale Poland inamsubiria afanye ujinga wake, Bundi (B-2) anyanyuliwe afanye yake.Hiyo itakuwa ni b2 spirit tu
Hatare mnoooNATO wamesema, sasa wanaanza kupeleka air defense systems Ukraine. Vikosi vya ardhini vinafanya vizuri sana.
View attachment 2384899
Baada ya vita hii kuisha, Ukraine atakuwa mzuri sana kijeshi na atakuwa na silaha za kisasa za kujilinda. Litakuwa miongoni mwa jeshi Bora sana katika nchi za EUHawa ndo sasa wataisaidia sana Ukraine, maana watatumika kufundisha wengine ujuzi wa NATO, mwisho wa siku Jeshi zima linakuwa limebadili doctrine
Umbali huo ni sawa na kutoka Kimara mpaka posta tu!Bado umbali wa km 12 tu Frontline ya Ukraine kuifikia Svatove Mkoani Luhansk. Huu ni mji Muhimu sana. Svatove ndo njia kuu ya Usafirishaji mizigo kutoka Urusi. Inapakana na Urusi
View attachment 2384890
Hii kweli mambaHii ni MAMBA ARTHUR ya Uingereza ikiwa na radar yake. Frontline
View attachment 2384522View attachment 2384523
View attachment 2384524
Compare mobilized training na hii. Ni kama ardhi na mbinguMafunzo ya kutumia Igla MANPADS yanaendelea. Teknolojia ni kitu kingine. Akiyoka hapa ameiva
View attachment 2385274
Hawajaelewa nini kimetokea. Wamechanganyikiwa hawawezi hata kukimbiaTuseme Urusi hawakuona hivi viazi vimetegwa barabarani?
View attachment 2385282
Umekujaq huku una hela ya bando kuangalia clips....?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Huu uzi ni kujifariji tu, kichapo mnachochezea kila uchao mnalia lia kuhutumia mara msaada, wanaume hawana habari wanafanya mazoezi ya Pamoja huko sambamba na CHINA na IRAN.
Nyie ndio mnajua mko vitani, wenzenu wako kwenye SMO [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na mkianza kupaza midomo wanawafumuaaaaa then wanaendelea na mishe zao.