Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mrusi kakimbizwa na drone hadi akachoka. Ikabidi ajisalimishe kwa drone wakati mwenye Drone yupo Km 5 kutoka alipo🤣🤣
View attachment 2385956
Hata bunduki alikuwa ametupa kabisa.😂😂😂😂 lakini Drone anamfuata tu. Angemlipua tu huyo nyang'au. Tumechoka wanaua watu wasio na hatia. Wanastahili na wao wauwawe tu.
 
Unavyopigwa na nani we kolo la Buza?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kila uchao mnalilia misaada bado mnakula kichapo.
Tunawapuuza maana nyie huwa hamna point zaidi ya matusi inaonekana hukulelewa na baba yako na mama ako pia yawezekana alikuwa anashinda kuchamba watu na madela na kwenda kwenye ngoma za baikoko,
Pole sana ndugu.
Sasa na wewe ukawa unapakwa wanja anaenda na wewe, matokeo yake sasa umeiga tabia hizo.
 
Hahahahahaaaa
 
Bunge la Bunge la Baraza la Ulaya limeitambua Urusi kuwa nchi ya kigaidi. Wanachama 99 walipiga kura ya kuunga mkono, 1 hakupiga kura. Azimio hilo linatambua ushiriki wa Urusi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa kinyume cha sheria
 
Hatimaye Aleksey Martynov, Aliyekuwa Mkuu wa idara katika ofisi ya Meya wa Moscow amerudishwa Nyumbani Urusi. Alikuwa Mobilized na akaja Ukraine bila mafunzo kutafuta sifa tu eti naye alipigana vita vya Ukraine
 
Ukraine wakipisha na Msafara uliobeba Maiti ya Wanajeshi, Wanashuka kwenye Magari na kupiga Magoti kama ishara ya kutoa hesima ya mwisho kwa mashujaa wapigania nchi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…