figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #7,161
Huko Kherson, Warusi waligeuza Shule kuwa ghala la Sulaha, wamekimbizwa wakakimbia bila Viatu na kuacha mzigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata bunduki alikuwa ametupa kabisa.😂😂😂😂 lakini Drone anamfuata tu. Angemlipua tu huyo nyang'au. Tumechoka wanaua watu wasio na hatia. Wanastahili na wao wauwawe tu.Mrusi kakimbizwa na drone hadi akachoka. Ikabidi ajisalimishe kwa drone wakati mwenye Drone yupo Km 5 kutoka alipo🤣🤣
View attachment 2385956
Unavyopigwa na nani we kolo la Buza?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kila uchao mnalilia misaada bado mnakula kichapo.Umekatazwa weka uzi wenu wa kuonesha tunavyopigwa?
Tunawapuuza maana nyie huwa hamna point zaidi ya matusi inaonekana hukulelewa na baba yako na mama ako pia yawezekana alikuwa anashinda kuchamba watu na madela na kwenda kwenye ngoma za baikoko,Unavyopigwa na nani we kolo la Buza?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kila uchao mnalilia misaada bado mnakula kichapo.
HahahahahaaaaTunawapuuza maana nyie huwa hamna point zaidi ya matusi inaonekana hukulelewa na baba yako na mama ako pia yawezekana alikuwa anashinda kuchamba watu na madela na kwenda kwenye ngoma za baikoko,
Pole sana ndugu.
Sasa na wewe ukawa unapakwa wanja anaenda na wewe, matokeo yake sasa umeiga tabia hizo.
DaaaahUrusi wanaacha wanajeshi wao wengi nyuma. Ukianguka hawakurudii
View attachment 2385496
Karudi kwao akiwa na maua mazuri kama zawadi kutoka Ukraine.Hatimaye Aleksey Martynov, Aliyekuwa Mkuu wa idara katika ofisi ya Meya wa Moscow amerudishwa Nyumbani Urusi. Alikuwa Mobilized na akaja Ukraine bila mafunzo kutafuta sifa tu eti naye alipigana vita vya Ukraine
View attachment 2386566
Warusi walipiga propaganda kuwa S-400 Yao ndo the most power full air defense system in the world. Swali mbona wanaume wana penetrate kama kweli anga la Urusi lina ulinzi imara.?URUSI: Ghala la Silaha limelipuliwa huko Belgorod Nchini Urusi
View attachment 2386570
Zilikuwa stori tuWarusi walipiga propaganda kuwa S-400 Yao ndo the most power full air defense system in the world. Swali mbona wanaume wana penetrate kama kweli anga la Urusi lina ulinzi imara.?