Hii silaha ilyotumika kutoka angani sijaijua. Imekigandamiza kifaru cha Urusi kikazama ardhini. Hiki kifaru ni aina ya T-72B na hapa ni mkoani Chernihiv
Jamhuri ya Czech imeamua liwalo na liwe. Imeamua kupeleka vifaru vyake aina ya T-72M1 na BVP-1 IFV Ukraine kama msaada ili Ukraine ijilinde na Wavamizi
Angalia Helkopta ya Urusi aina ya Ka-52 ilivyo angamizwa kwa kutumia Silaha aina ya Stugna-P ATGM kutoka kikosi cha 95th Air Assault Brigade wa Ukraine. Kifaa cha dola laki moja kinaharibu kifaa cha dola $16 Millions. Sio mbaya
Zaidi ya Magari 40 ya Urusi yaliharibiwa na Jeshi la Ukraine kwenye rear base ya Urusi. Tulichelewa kupost sababu tulikuwa tunahakiki. Hii ni ya siku mbili zilizopita