Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mykhailo Dianov alikuwa anaipambania Mariupol isiangukue Urusi, ni moja ya Walioachiwa Huru kizuzini. Tangu ashikiliwe na Urusi, hakuwahi kupewa matibabu. Ukisikia Azov ndo hawa. Sasa yupo anajitibia na anaendelea vizuri. Anakuambia akupona Vizuri na kurudi Frontline line. Furaha yake ni kuona Ukraine inajikomboboa toka kwa Urusi. Mkono wake hauna mfupoa wa sm 4

 
Kwani tuna adui yoyote?

Tanzania haina defence yoyote ile, kama
Kama hujui kitu, kunyamazà kunalinda heshima yako. Yaani Tanzania haina air defense system. Nini maana ya kuwa na kikosi cha anga. Hizo ndege za kijeshi na vifaa vyake zitalindwa na nini sasa kama huna air defense system.

mfano mdogo tu. Kwani ile issue ya rada iliyokuwa hot ilikuwa rada ya kunasa kunguru. Je, rada ikiona bila kitu cha kuzuia inakuwa na maana gani sasa.

Bora ungehoji kama tuna vitu vizito kama NASAMS, HIMARS, M270 etc.

Na ole wako uhoji kama hujadabuliwa kabla ya asubuhi. 😂😂😂. Sembuse kivuko kile cha mwanza - Bukoba watu walizibwa mdogo ndo uhoji vitu vizito kama hivo, shauri yako. Sisi tumekupa tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…