Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Siku 4 [emoji15][emoji15][emoji15] hata TZ tu hatuwez anguka in 4 days!!!!

Wanachofanya wana wipe out military base na weapons location zote ndani ya muda mfupi tu . Unabaki huna kitu vita inaisha. Wana uwezo huo

Kuna vita nyingi tu zilichukua muda mfupi sana. Record inashikiliwa na united kingdom na zanzibar vita ilichukua dk 45 zemji wakanyoosha mikono juu.

Tanzania ilishawahi kwenda kumfurusha mtu huko anjuweni comoro ndani ya wiki au less than that. Ni suala la uwezo
 
Inasemekana
Ukraine imezuia taarifa za Kherson maana iko kwenye bonge la counter offense
Ni muhimu sana kwa sababu ktk miji inayopiganiwa kuna Wasaliti ambao wanaijua vizuri niji hiyo. Ukirusha picha tu inakuwa rahisi kwao kuonyesha wavamizi hizo picha zimechukuliwa wapi na adui anashambulia
 
URUSI wanaipiga Ukraine kutokea Mkoani Belgorod Nchini Urusi. Sasa Ukriane imejibu Mashambulizi baada ya kuvumilia muda mrefu. Muda huu Uwanja wa ndege wa Belgorod Unawaka motoπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
View attachment 2389131
Alhamdulillah. Walau nasi roho na nafsi zetu zisuuzike kidogo. Na kama kuna ndege zilizoteketezwa itafurahisha sana. Hongera sana Ukraine kwa kutoa advertise hiyo kwa Mrussi. Kama muamala utakamilika inapendeza zaidi kwa ongezea moto na viwanja vingine, maghala n.k. vya hapo Belgorod.
 
Hivi ndivyo ilikuwa uwanja wa ndege wa Belgorod Nchini Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine imelenga mifumo ya Ulinzi wa anga aina ya S-300 air defense system Mkoani belgorod. Kila siku Ukriane inashambuliwa kutokea hapo. Leo zamu yao. Makombora yametoka umbali wa KM 200 na hayajadakwa na mifumo ya UrusiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Sikumbuki kama nimepost. Leo hapa Belgorod Warusi wameuana. Kuna wanajeshi watatu wa Urusi wameasi na kuua wenzao 22. Kati ya watatu walioasi wawili wameuliwa mmoja amesepa
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi ndivyo ilikuwa uwanja wa ndege wa Belgorod Nchini Urusi
View attachment 2389170
Saafi sana. Tuliisubiri sana kwa hamu kubwa siku hii na tukio hili la leo. Walau Mrussi ajitafakari. Next time asishangae makombora yakatua Mosco kama yale ya kwake yaliyotua Kyiv. Ukraine nawapongeza sana kwani mnazingatia sana na kuheshimu kanuni na taratibu za kivita. Sio Urussi anapiga makombora sehemu za raia na miundombinu isiyohusika na jeshi wala vita. Anarusha makombora hovyo alimradi tu huwa yanarushwaga. Mrussi ni fedhuli kindakindaki.
 
Leo Nchini Urusi Mkoa wa Belgorod Umepigwa na Missiles 11 zote tumetua kwenye shabaha. Urusi wepesi kama karatasi. Siku zote Ukraine imekua ikijilinda si kushambulia. Natamani nayo iendelee kusgambulia
View attachment 2389203
Duh! Hilo "handaki" πŸ‘† πŸ‘† litamfaa sana Mrussi kwa kufugia samaki au choo cha shimo. Akitaka anaweza kulifanya dampo.
 
Mrussi bhana: Anajimwambafai sana lakini leo amethibitishiwa pasi na shaka kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya Urussi si lolote wala chochote mbele ya Ukraine -Hamna kitu hapo. Ukraine muda wote alivumilia lakini sasa uvumilivu umefika ukomo na ni mwisho. Hapo ujue leo Ameonjeshwa tu. Yajayo yanafurahisha. Kazi iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…