figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #7,301
Ilipatia. Mfumo wa maji kwenda UwanjaniKwenye shimo hili ali target kupiga nini au ilikosa target.
Ndiyo maana wanafanya deportation.Kwa moto wa leo, Kherson inaweza kombolewa kabla ya Luhansk
View attachment 2389364
Haba na haba hujaza kibaba. Ripoti ya warusi eti wanadai askari wao walikufa ni 5,000+ tuKwa moto wa leo, Kherson inaweza kombolewa kabla ya Luhansk
View attachment 2389366View attachment 2389367View attachment 2389368View attachment 2389369View attachment 2389370
Hahahaaa. Utawala Wanakimbilia Crimea. Cjui wamewaza nini labda wanajidanganya kuwa Ukraine hawezi kufika huko. Ukusikia akili za mbuni ndo hizo 😀 😀Kherson leo kimenuka.. Utawala wa Urusi unakimbilia Crimea
View attachment 2389344
Mwenye macho haambiwi tazama.Haba na haba hujaza kibaba. Ripoti ya warusi eti wanadai askari wao walikufa ni 5,000+ tu
Swali la kujiuliza kama wamekufa 5K tu, kwa nini kafanya partial mobilization ya over 300K?.
Tena na zana za miaka1980s hukoWarusi walipiga propaganda kuwa S-400 Yao ndo the most power full air defense system in the world. Swali mbona wanaume wana penetrate kama kweli anga la Urusi lina ulinzi imara.?
We haumjui Mrussi ni chui wa karatasi? Anaweza kukukimbiza kumbe anakuchimba mkwara tu. Hana lolote.Tena na zana za miaka1980s huko
Kherson ikichukuliwa, wataikimbia Crimea mchana kweupe.Hahahaaa. Utawala Wanakimbilia Crimea. Cjui wamewaza nini labda wanajidanganya kuwa Ukraine hawezi kufika huko. Ukusikia akili za mbuni ndo hizo 😀 😀