Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kherson leo kimenuka.. Utawala wa Urusi unakimbilia Crimea
20221016_202210.jpg
 
Ukraine kuba kundi lilijiunda siku vita ya Urusi na Ukraine inaanza, linaitwa Kraken special forces. Sasa hivi wameshaiva. Vita iliponza Ukriane iligawa silaha kwa raia wajilinde dhidi ya Mvamizi. Hili kundi likaunda omoja ndo wakajiita Kraken special forces. Hawa wapo Luhansk. Ni kama unavyo waona Azov regiment. Mafanikio yao ya hivi karibuni, waliweza kuikomboa Kupiansk-Vuzlovyi, Kyslivka na Kotlyarivka. Video ni siku wanaikomboa Kupiansk-Vuzlovyi
 
Back
Top Bottom