figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #7,361
Hali itatengamaa. Ni swala la muda tu. Hakuna kitu kilichosumbua kama ndege za Urusi. Sasa hivi zipo wapi? Hata hivyo Drone zinadakwa sana tu.Mbona ndege zipo angani zinaziwinda.
Tatizo zinatumwa nyingi kwa wakati 1, uwezekano wa ndege zetu kutunguliwa na defence zetu ni mkubwa
Hata hizo drone zinatafutiwa njia yake tuHali itatengamaa. Ni swala la muda tu. Hakuna kitu kilichosumbua kama ndege za Urusi. Sasa hivi zipo wapi? Hata hivyo Drone zinadakwa sana tu.
Urusi hayuko deep inside Ukraine ambako hizo drone lazima zikakatize ili kupiga Targets Kiev na miji mingine ya ndani.Ukiweka ndege angani radar za mrusi zitaziona na kuzitungua.
Itakuwa misuse of resource. Ni sawa na kutumia HIMARS kutungua drone. Bado naona hoja ya kutumia solution ya mu-,Israel n valid na cost effective.
Mkuu hii ni CHAI.Jana Ukraine iliangusha Shahed-136 Kamikaze drones 82% au 23 kati 28 zilizolenga kutua Kyiv. Hii ni vita, hamuwezi kupiga tu bila kupigwa. Bado Ukraine inapungukiwa na Ulinzi wa anga. Mfano za jana zilitokea Belarus. Urusi yeye analenga sehemu yoyote yenye watu. Yeye anajisifia kuua raia tofauti na Ukraine inayolenga Majeshi na mifumo ya jeshi.
View attachment 2390920
Unamaanisha nini? Ulizia wenzako kabla ya kubisha. Tena wamezidi Warusi walokufa wanakaribia 560 sasa.Mkuu hii ni CHAI.
Sasa kama chai si utafute vitumbua kwa Mama ashurua Unywe vizuri.Mkuu hii ni CHAI.