Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa jamaa wanafanya Majaribio ya Silaha waliotengeneza ili kupambana na Drone. Wamefunga Machine gun kwenye Drone. Hivi vitu vinatengenezwa na wananchi wenyewe ili kujilinda. So zinatega juu kwa juu angani drone ya Adui. Sipati picha ikikamilika
 
Ukiweka ndege angani radar za mrusi zitaziona na kuzitungua.

Itakuwa misuse of resource. Ni sawa na kutumia HIMARS kutungua drone. Bado naona hoja ya kutumia solution ya mu-,Israel n valid na cost effective.
Urusi hayuko deep inside Ukraine ambako hizo drone lazima zikakatize ili kupiga Targets Kiev na miji mingine ya ndani.

Kuna haja ya kufanya kitu pale Moscow. Naamini Ukraine uwezo wa kupenetrate hadi Moscow na kupiga source za energy anao!
 
Huyu Rubani wa Urusi baada ya kuona ndege inavamia makazi ya watu, akaruka zake na mwamvuli🤣
20221018_151002.jpg
 
Wakuu, jana tarehe 17 October 2022, Wanajeshi wa Urusi 530 Wamekufa kwenye Ambushi. Kama anayefuatilia Frontline ya Urusi aje hapa abishe au aniumbue. Wapo waliojeruhiwa 20, nao leo asubuhi wote walikuwa wamekufa huku wakipatiwa matibabu. Huu ni Ushindi mkubww kwa Frontline.
 
Ukiachilia mbali Wanajeshi 530 wa Urusi kufa jana, pia kuna Vifaa vya jeshi vimeteketezwa au kutekwa nyara ikiwa ni pamoja na Vifaru 11, Magari ya Kivita 14, Mfumo 1 wa Ulinzi wa anga, multiple-launch rocket systems(MLRS) 6, Magari ya Ugavi na Malori ya Mafuta 16, Mifumo ya Silaha 23, operational-tactical UAVs 35, na
cruise missiles 2. Huu ni Ushindi mkubwa kwa Ukraine
20221018_154544.jpg
 
Jana Ukraine iliangusha Shahed-136 Kamikaze drones 82% au 23 kati 28 zilizolenga kutua Kyiv. Hii ni vita, hamuwezi kupiga tu bila kupigwa. Bado Ukraine inapungukiwa na Ulinzi wa anga. Mfano za jana zilitokea Belarus. Urusi yeye analenga sehemu yoyote yenye watu. Yeye anajisifia kuua raia tofauti na Ukraine inayolenga Majeshi na mifumo ya jeshi.
View attachment 2390920
Mkuu hii ni CHAI.
 
Back
Top Bottom