Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Unamaanisha nini? Ulizia wenzako kabla ya kubisha. Tena wamezidi wanakaribia 560 sasa.
Acha upopoma, hamna uwezo wowote wa kutungua drone 20+ kati ya 28 zilizotumwa. Mbaya zaidi hizo drone zimeundwa kwa mfumo wa ikishahit target basi yenyewe imeisha matumizi ya na inalipuka.

Acha kujidanganya kijana, pia hiyo taarifa yako ya kuuawa wanajeshi 560 kwa wakati mmoja toa kwa kutumia akili yako, hata ambush iwe kubwa vipi huwezi wakuta wanajeshi vitani wamelundukana kufikia 500+

HUNA AKILI MASTA.
 
We brainless acha ubishi Si uende huko utafute habari.
 
Hali itatengamaa. Ni swala la muda tu. Hakuna kitu kilichosumbua kama ndege za Urusi. Sasa hivi zipo wapi? Hata hivyo Drone zinadakwa sana tu.
Wanaziundia njama waziondoe kabisa maana Urusi kafanya mashambulizi 200
 
Nimeiona aiseee
Bonge la idea, na lengo kuu ni kuziharibu drone za Iran
 
Hongera sana na hiyo ni kazi iliyotukuka.
 
Unajifariji vibaya muongo muongo
 
Mkuu, hebu sema wewe walikufa wangapi? Halafu usisahau pia na idadi ya drones zilizotunguliwa kabla ya kuhit target. Utuambie wanajeshi vitani mlundikano mkubwa zaidi ni askari wangapi ? Ni kwa vigezo gani shambulizi linakuwa ni Ambush. Hivi Warussi waalipofolenisha vifaru km.64 walikuwa ni wangapi katika mlolongo ule?
Ni hayo tu.
 
Mkuu, Batalioni moja ina wanajeshi wangapi? Tuanzie hapo kwanza.. Inawezekana hujui.. Mbona Lyman wamekamatwa wanajeshi 3000 hujasema walirundikana?
 
Nadhani huyu jamaa labda amepitia mafunzo ya Mgambo yanayoanza saa 8 mchana hadi saa 12 jioni halafu mnaenda kulala kwenu - kukutana tena ni kesho.
Tatizo wanadhani napost picha kushindanisha kati ya Urusi na Ukraine. Mimi napost mafanikio ya Frontline ya Ukriane. Ingependeza mtu akija kusema nimedanganya aseme ukweli aniumbue. Lakini sio kunitukana. Kosa langu kuongea ukweli au? Tunakosa mijadala yenye tija sababu mtu haji na hoja. Hii ni vita tuitumie kujifunza silaha mpya na mbinu mpya za kijeshi. Mfano leo Ukraine imeachia Wanajeshi wa Urusi 218, aje mtu aseme walikuwa wafungwa 10. Wenzetu Africa hasa Ghana na Nigeria wanabishana kwa hoja, ila Tanzania anayejua matusi na udhalilishaji ndo anaonekana mwenye point. Tanzania muna safari ndefu kufikia uhuru wa kujieleza. Pro Urusi wa huko Tanzania wanaona matusi ndo dili. Nasikitika sana.. Ndo maana siwajibu sababu hawajengi hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…