Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Kufa kupo tu inategemea wanagombea nini hio ni km vita ya wakulima na wafugaji kila mwaka hawaishi kuuana vita vipo kila sehemu ila taarifa ziwe balanced usi exaggerate news to the extents unaonekana wewe sioInasikitisha sana watu wanapoteza uhai, kwa maamuzi yanayofanywa na watu waliopo maofisini huku wakipulizwa na kiyoyozi; naona ni bora wangejisalimisha ili waendelee kuishi.