Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Inasikitisha sana watu wanapoteza uhai, kwa maamuzi yanayofanywa na watu waliopo maofisini huku wakipulizwa na kiyoyozi; naona ni bora wangejisalimisha ili waendelee kuishi.
Kufa kupo tu inategemea wanagombea nini hio ni km vita ya wakulima na wafugaji kila mwaka hawaishi kuuana vita vipo kila sehemu ila taarifa ziwe balanced usi exaggerate news to the extents unaonekana wewe sio
 
We uko tayari kufa ili x anufaike?
 
Tatizo wanadhani napost picha kushindanisha kati ya Urusi na Ukraine. Mimi napost mafanikio ya Frontline ya Ukriane. Ingependeza mtu akija kusema nimedanganya aseme ukweli aniumbue. Lakini sio kunitukana. Kosa langu kuongea ukweli au? Tunakosa mijadala yenye tija sababu mtu haji na hoja. Hii ni vita tuitumie kujifunza silaha mpya na mbinu mpya za kijeshi. Mfano leo Ukraine imeachia Wanajeshi wa Urusi 218, aje mtu aseme walikuwa wafungwa 10. Wenzetu Africa hasa Ghana na Nigeria wanabishana kwa hoja, ila Tanzania anayejua matusi na udhalilishaji ndo anaonekana mwenye point. Tanzania muna safari ndefu kufikia uhuru wa kujieleza. Pro Urusi wa huko Tanzania wanaona matusi ndo dili. Nasikitika sana.. Ndo maana siwajibu sababu hawajengi hoja
Take your time bro. Achana na huyo nguruwe pori.
 
Ukiachilia mbali Wanajeshi 530 wa Urusi kufa jana, pia kuna Vifaa vya jeshi vimeteketezwa au kutekwa nyara ikiwa ni pamoja na Vifaru 11, Magari ya Kivita 14, Mfumo 1 wa Ulinzi wa anga, multiple-launch rocket systems(MLRS) 6, Magari ya Ugavi na Malori ya Mafuta 16, Mifumo ya Silaha 23, operational-tactical UAVs 35, na
cruise missiles 2. Huu ni Ushindi mkubwa kwa Ukraine
View attachment 2391099
Bravo Ukraine
 
Msitoe KIKI kwa wakuja.
Cjui katokea fesibuku kwao uko.
Screenshot_20221018-230456.jpg
 
Sijaona mtu muongo kama huyu mtuma mapicha yaani kwa mfano Ukraine haina umeme wala maji hivi huko yeye hajapata picha atume Kyiv ilivyochakazwa???
 
Sijaona mtu muongo kama huyu mtuma mapicha yaani kwa mfano Ukraine haina umeme wala maji hivi huko yeye hajapata picha atume Kyiv ilivyochakazwa???
Kuna Majeshi yaliyo Frontline huko Kyiv unaposema?. Hii thread inahusu Mafanikio ya Frontline ya Ukriane. Mbona unanilazimisha nipost kinachokufurahisha? Haya sema kuhusu Kyiv nimedanganya nini, Niquote. Vichwa vyenu vimejaa kamasi? Hebu soma title ya thread

Hapo kwenu Nangurukuru tangu uhuru hamna umeme na unaona poa, Hiyo kyiv kukosa umeme siku moja ndo unaona umepata Story sio? Si mumeshaandika kwenye thread yenu au bado?
 
Back
Top Bottom