CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Acha upopoma, hamna uwezo wowote wa kutungua drone 20+ kati ya 28 zilizotumwa. Mbaya zaidi hizo drone zimeundwa kwa mfumo wa ikishahit target basi yenyewe imeisha matumizi ya na inalipuka.Unamaanisha nini? Ulizia wenzako kabla ya kubisha. Tena wamezidi wanakaribia 560 sasa.
Acha kujidanganya kijana, pia hiyo taarifa yako ya kuuawa wanajeshi 560 kwa wakati mmoja toa kwa kutumia akili yako, hata ambush iwe kubwa vipi huwezi wakuta wanajeshi vitani wamelundukana kufikia 500+
HUNA AKILI MASTA.