Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu, Batalioni moja ina wanajeshi wangapi? Tuanzie hapo kwanza.. Inawezekana hujui.. Mbona Lyman wamekamatwa wanajeshi 3000 hujasema walirundikana?
We kwa akili yako Batalion moja inakaa kama mashabiki wa mpira uwanjani? Umewahi kwenda hata JKT ww mbugila au unashusha mashudu hapa ya kujifariji huku mnashinda kwenye mahandaki miezi 8 sasa hivi??

Batalion inakuwa na Askari kuanza 300 mpaka 1000 na sio kwamba wote wanakaa sehemu moja hapana, kama ilivyo Dar wanaweza wakawa eneo la MBAGALA lkn wengine wakiwa Mbagala kuu, Mgeni nani, Rangi 3 nk. Huwezi kukaa kama mashabiki wa uwanja wa mpira.

Acha kujifariji POPOMA.
 
Huyo Jamaa yenu figganigga anawalisha taarifa za uongo na nyinyi mnajifariji
Hata kama napost kitu ambacho hakikufurahishi usinichafulie ID yangu. Wambie wanajukwaa Uongo niliopost tangu Vita ianze. Nipo tayari kukosolewa. Nipo JF tangu 2010. Wewe umejiunga Agosti 2022,halafu unataka kunichafua.. Huna ubavu. Nimejenga urafiki na Imani kwa watu wengi JF wengine tunajuana. Hata jukwaa lenu la Siasa natimba. Hivyo wanakuchora tu unavyo jichanganya. Nikidanganya weka ukweli.

Mfano huyu nimesema ni Mrusi, je nimedanganya?
Your browser is not able to display this video.
 
Hatutaki taarifa za maneno, kwa sababu nyingi huwa ni za uongo, ila taarifa za picha au video huwa ni za kweli
Mkuu picha hata wewe unaweza kuzipika ukaziweka humu ila simulizi zake ni uongo anatunga wazi wazi tena bila aibu, source ya information kwamba wanajeshi 560 wa Russia wamekufa ipo wapi? Unajitungia utadhan wewe ndio upo Frontline ongopa lakini uwe na kiasi usiongope to the extent watu wanakushtukia wewe unatupiga kanyaboya
 
Wewe umejiunga Agosti 2022,halafu unataka kunichafua.. Huna ubavu. Nimejenga urafiki na Imani kwa watu wengi JF wengine tunajuana. Hata jukwaa lenu la Siasa natimba. Hivyo wanakuchora tu unavyo jichanganya. Nikidanganya weka ukweli.
Mkuu nadhan hatujaelewana

We need source of information sio blah blah
 
Inawezekana idadi ikawa kubwa kuliko hiyo, mara nyingi huwa ni makadirio kutokana na wingi wa watu
 
Inawezekana idadi ikawa kubwa kuliko hiyo, mara nyingi huwa ni makadirio kutokana na wingi wa watu
Mkuu hakuna kitu km hicho km hivyo kila taarifa anayoiweka aweke chanza cha kuaminika cha taarifa yake sio uko uchochoroni hata mimi najua ku-edit picha ila siwezi kufanya ujinga huo

Na pia sijasema yooote anayosema ni uongo hapana ila mengine anakoleza chumvi kwa sababu ya mapenzi sasa vita havitakiwi kufanywa hivyo, unatunga uongo?
 
Mkuu figganigga endelea kusimulia hii vita ila chumvi punguza chumvi chakula kinapoteza ladha chumvi ikizidi sana haipendelezi punguza chumvi sisi walaji wa taarifa tunajua chumvi ikizidi inakuaje punguza chumvi weka chumvi ila usizidishe kipimo
 
Mkuu figganigga endelea kusimulia hii vita ila chumvi punguza chumvi chakula kinapoteza ladha chumvi ikizidi sana haipendelezi punguza chumvi sisi walaji wa taarifa tunajua chumvi ikizidi inakuaje punguza chumvi weka chumvi ila usizidishe kipimo
Ulitakiwa upelekwe front line ya Urusi mkuu, ili utuletee habari za kweli
 
... achana na hayo maviazi Kiongozi. Hayana hoja zaidi ya ujinga ujinga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…