CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
We kwa akili yako Batalion moja inakaa kama mashabiki wa mpira uwanjani? Umewahi kwenda hata JKT ww mbugila au unashusha mashudu hapa ya kujifariji huku mnashinda kwenye mahandaki miezi 8 sasa hivi??Mkuu, Batalioni moja ina wanajeshi wangapi? Tuanzie hapo kwanza.. Inawezekana hujui.. Mbona Lyman wamekamatwa wanajeshi 3000 hujasema walirundikana?
Batalion inakuwa na Askari kuanza 300 mpaka 1000 na sio kwamba wote wanakaa sehemu moja hapana, kama ilivyo Dar wanaweza wakawa eneo la MBAGALA lkn wengine wakiwa Mbagala kuu, Mgeni nani, Rangi 3 nk. Huwezi kukaa kama mashabiki wa uwanja wa mpira.
Acha kujifariji POPOMA.