Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Kufa kupo tu inategemea wanagombea nini hio ni km vita ya wakulima na wafugaji kila mwaka hawaishi kuuana vita vipo kila sehemu ila taarifa ziwe balanced usi exaggerate news to the extents unaonekana wewe sioInasikitisha sana watu wanapoteza uhai, kwa maamuzi yanayofanywa na watu waliopo maofisini huku wakipulizwa na kiyoyozi; naona ni bora wangejisalimisha ili waendelee kuishi.
Haya ni makazi ya watu; hata Ukraine wakiamua kuingilia makazi ya watu na kuua inawezekana. Ila kuua raia ni ishara ya kushindwa vita
Haya ni makazi ya watu
We uko tayari kufa ili x anufaike?Kufa kupo tu inategemea wanagombea nini hio ni km vita ya wakulima na wafugaji kila mwaka hawaishi kuuana vita vipo kila sehemu ila taarifa ziwe balanced usi exaggerate news to the extents unaonekana wewe sio
Na ungelikuwa umeshakuwa mbolea.Sawa mkuu na ningekuepo uko ningekua Frontline ya Chechnya kwenye hio battle ground
Sijui mkuuWe uko tayari kufa ili x anufaike?
Mimi au wewe mkuu?Na ungelikuwa umeshakuwa mbolea.
Vita ni vitaHaya ni makazi ya watu
Huko porini Urusi wanapata kichapo hatariVita ni vita
Take your time bro. Achana na huyo nguruwe pori.Tatizo wanadhani napost picha kushindanisha kati ya Urusi na Ukraine. Mimi napost mafanikio ya Frontline ya Ukriane. Ingependeza mtu akija kusema nimedanganya aseme ukweli aniumbue. Lakini sio kunitukana. Kosa langu kuongea ukweli au? Tunakosa mijadala yenye tija sababu mtu haji na hoja. Hii ni vita tuitumie kujifunza silaha mpya na mbinu mpya za kijeshi. Mfano leo Ukraine imeachia Wanajeshi wa Urusi 218, aje mtu aseme walikuwa wafungwa 10. Wenzetu Africa hasa Ghana na Nigeria wanabishana kwa hoja, ila Tanzania anayejua matusi na udhalilishaji ndo anaonekana mwenye point. Tanzania muna safari ndefu kufikia uhuru wa kujieleza. Pro Urusi wa huko Tanzania wanaona matusi ndo dili. Nasikitika sana.. Ndo maana siwajibu sababu hawajengi hoja
Upande wa frontline ya Chechnya bro.Mimi au wewe mkuu?
Slava Ukraine [emoji1255]Wakuu, jana tarehe 17 October 2022, Wanajeshi wa Urusi 530 Wamekufa kwenye Ambushi. Kama anayefuatilia Frontline ya Urusi aje hapa abishe au aniumbue. Wapo waliojeruhiwa 20, nao leo asubuhi wote walikuwa wamekufa huku wakipatiwa matibabu. Huu ni Ushindi mkubww kwa Frontline.
View attachment 2391073
Bravo UkraineUkiachilia mbali Wanajeshi 530 wa Urusi kufa jana, pia kuna Vifaa vya jeshi vimeteketezwa au kutekwa nyara ikiwa ni pamoja na Vifaru 11, Magari ya Kivita 14, Mfumo 1 wa Ulinzi wa anga, multiple-launch rocket systems(MLRS) 6, Magari ya Ugavi na Malori ya Mafuta 16, Mifumo ya Silaha 23, operational-tactical UAVs 35, na
cruise missiles 2. Huu ni Ushindi mkubwa kwa Ukraine
View attachment 2391099
NdiooooooWamekufa kama sisimizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2391376
Sisi tupo hapa miaka zaidi ya 10 sasaMsitoe KIKI kwa wakuja.
Cjui katokea fesibuku kwao uko.View attachment 2391496
Kuna Majeshi yaliyo Frontline huko Kyiv unaposema?. Hii thread inahusu Mafanikio ya Frontline ya Ukriane. Mbona unanilazimisha nipost kinachokufurahisha? Haya sema kuhusu Kyiv nimedanganya nini, Niquote. Vichwa vyenu vimejaa kamasi? Hebu soma title ya threadSijaona mtu muongo kama huyu mtuma mapicha yaani kwa mfano Ukraine haina umeme wala maji hivi huko yeye hajapata picha atume Kyiv ilivyochakazwa???