Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Haina shida wakifurushwa Nao zamu yao ya kuharibiwa miundo mbinu itafuata. Muhimu sasa hivi waondoke kwenye ardhi ya Ukraine.
Tena waondoke chap. Huyo mzee jeuri Putin endapo atadakwa ingelifaa ahifadhiwe kwenye museum(Makumbusho) kwa ajili ya vizazi vijavyo.
 
Warusi wanajidanganya kuharibu miundo mbinu ya nishati ya Ukraine, Lakini Ukraine naye ana uwezo wa kupiga na kuharibu miundo mbinu ya nishati ya Urusi katika miji atakayoichagua!
Aisee kwa kweli Urussi imepata kiongozi JUHA wa kiwango cha lami. Yaani unaishi kwenye nyumba ya kioo halafu unafanya mchezo wa kutupiana mawe.
 
Na ikitokea anataka kuivamia nchi nyingine yoyote ile , itambidi kwanza akae chini ajitafakari na halafu afikiri mara mbili-mbili kabla ya kutoa uamuzi. Amepata funzo la kumtosha maishani mwake.
 
Kama maigizo vile. Wanaume na korodani zao wamekuwa wapole. Wako tayari kufanywa lolote. 😂😂😂😂
Hahahahaaaa. Halow. Ukraine ni mstaarabu. Anapigana vita yenye malengo yatakayoleta Tija kwa Taifa lake na sio Kuoneshana Ubabe kama alivofanya mzee mzima Putin.
 
Hawa ni Warusi, na hizi kofia ni za vita ya pili ya dunia? Je, ameanza kunyong'onyea?View attachment 2393230View attachment 2393231
Yaani Urusi kajivua nguo saana Hii vita Sasa hivi hata Latvia anamtamani Mrusi aruke nae mbele... Mtu askari ameshamaliza kabakiza voda fasta Hana Tena elites military personnel.

Askari wanavaa kofia za Chuma Kama Suma JKT. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Afu West walivyo na utajiri wanatoa fully equipment ... Imagine Kama Canada tu kwa miaka kibao wanatoa Canadian military uniform combat kwa askari wa Tanzania kwa miaka na hawatetereki... Watashindwa kuwapa Wazungu wenzao wa Ukraine magwanda ya kisasa kwa miaka 10.

Hii vita Mrusi kayatinyanga kadri siku zinavyozidi kusonga ndio anafulia zaidi, Bora aachane nayo ni sawa na kuliwa kwenye kamari na ukaendelea kufukuza hasara yako ili ukave ndio unapunwa zaidi .. ulikuwa call it a day nenda home... Kesho nayo siku.

Mrusi apigwe tu! Hasikii Wala hajielewi.
 
Na ikitokea anataka kuivamia nchi nyingine yoyote ile , itambidi kwanza akae chini ajitafakari na halafu afikiri mara mbili-mbili kabla ya kutoa uamuzi. Amepata funzo la kumtosha maishani mwake.
Hawezi kufanya mpaka anaenda motoni maana miaka yake yote alikua anafanya mazoezi na kutengeneza siraha humu JF ilikua kucha nyuzi za siraha za kisasa alizoteneneza mara robot inapiga eneo fulani huku waki control huko Moscow leo tunasikia kapata msaada wa Drones toka Iran...vita haji kuja kuanzisha hao magenerali wake atawateua mpaka wataisha wote..
 
Vyote vimepotea ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…