Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kifaru cha Urusi aina ya 2S3 Akatsiya self-propelled gun hapa ni Mkoani Chernihiv
Your browser is not able to display this video.
 
Wapiganaji wa Chechen wanaoisaidia Ukraine, wamefanikiwa kukamata gari la Silaha la Urusi.
Your browser is not able to display this video.
 
Ramani ya Ukraine hadi 00:00 UTC 08/04/2022. Sehemu yenye wekundu ndipo Warusi wapo. Tumewafukuza sana. Waliingia hadi Kyiv hawa wavamizi. Tunaenda Vizuri
 
Ukraine jana wameweza kukomboa Mji wa Kreminna (NW Sievierodonetsk), majeshi ya Urusi yamerudishwa nyuma ~10km hadi mji wa Zhytlivka.
 
Wanajeshi wa Ukraine inabidi wajitahidi kufa kupona mji muhimu wa Izyum urudi. Ikibidi waombe msaada wa Marekani. Ni Mji muhumu zaidi ya Bucha. Urusi wamewekeza jeshi kubwa sana hapa Izyum, ila watatolewa tu.
 
Putin ana wivu na Maendeleo ya Ukraine. Yeye analenga Miundombinu na kuiharibu ili Ukraine irudie umasikini aweze kuitawala. Analenga Mitambo ya Umeme, maghara ya vyakula, mafuta, magorofa, barabara, reli, Viwanja vya ndege, Sehemu za Historia nk.
 
Benjamin Hall akiwa kazi. Huyu ni mpiga picha Uwanja wa Vita, kapiga picha majeshi ya ISIS syria na Ukraine. Kajeruhiwa, kapoteza Jicho, na mwili una majeraha. Sasa yupo Hospital anatibiwa. Mungu amsaidie apone haraka. Hajui alifikaje Hospital.
 
Pierre alipofariki, ilikuwa ni siku mbaya, sababu hata mwanadada Oleksandra “Sasha” Kuvshynova naye alifariki akiwa na miaka 24 tu. Dogo alikuwa Frontline akipiga kazi. RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…