Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Eti Ukraine imeshambulia gari la raia wasio na hatia🤣🤣🤣
View attachment 2394244
Sijui kwa Warussi ikoje, lakini hapa Bongo ukiwa wewe ni raia, ukivaa mavazi ya jeshi ni kosa kubwa. Sasa huyo mwana propaganda aseme imekuwaje raia amevaa combat na yupo eneo la vita ila anaendesha gari la kiraia. Kibongo-bongo tungemwambia:Huyu👆👆 askari wako ni mwizi -ameteka au ameiba gari la kiraia halafu analitumia kinyume cha matumizi sahihi ya gari la kiraia. au aambiwe Tumempiga adui aliyekuwa ndani ya gari la kiraia. Hilo gari halituhusu ila huyo askari ni halali yetu.
 
Kumbe Tanzania twapewa msaada wa uniform na mabeberu
Wee HIMARS, Hoja ya Beberu hapo inaingiaje na ni nani wakati ni biashara? Mtoa hoja hajasema ni Msaada. Btw ingekuwa ni Mchina ungesemaje?
 
Mimi nafikiri Urusi waachane na Odessa. Mwezi wa nane sasa hakuna Mrusi kakanyaga Odessa. Kila siku Missile hazifikii target. Wanajitahidi sana. Urusi wanaitaka ile bandari.
Wanaitaka ile bandari. Ukraine wanasema: "Katu hawataipata - over my dead body". Kwa hiyo Mrussi atakaa sana.
 
Wee HIMARS, Hoja ya Beberu hapo inaingiaje na ni nani wakati ni biashara? Mtoa hoja hajasema ni Msaada. Btw ingekuwa ni Mchina ungesemaje?
Uyo HIMARS nilishaga mblock ni snitch ya uku anayapeleka kule ya kule anayaleta uku ni nusu nusu yaani si wa moto si wa baridi haeleweki sehemu anaitetea UKRAINE akienda kule anaisifia RUSSIA niliamua kumblock tu
 
Misha Kaplan Urusi wwmeondoka roho yake. Alikuja kusaidia Ukraine akitokea Georgia.. Ni askari wa kujitolea. Hapa alikua akielezea jinsi Missile ilivyo mkosa. Ila baadaye wakamuua😭😭
Your browser is not able to display this video.
 
Respect kwa kiranja wa dunia.....shukran zake...

Respect Roosevelt
 
Sure! Muingereza alijitahidi sana kumzuia Mjerumani asivuke kuingia kwenye kisiwa chake, alipigwa vibaya sana baharini hadi akaamua kurudi nyuma na kutangaza operation Barbarosa (Eastern Front to Russia).

West Europe aliyejitahidi ni Muingereza, uingereza kitu kikubwa kilichomsaidia ni intelijensia ya kujua na kugundua Mjerumani anapanga kufanya nini.

Bila US kuingia kwenye hizo vita dunia ingegawanywa vipande 3,sehemu ya Mjapan Pacifi yote hadi US.

Pili Third Reich Europe yote.Headquarters ilikuwa inaandaliwa kuwekwa pale Czechoslovakia, Fourth Reich ingekuwa Afrika makao yake makuu yalikuwa yawe South Africa.

Tatu angetawala Muitaliono (Benito Mussolini) akiwa karibu na rafiki yake Mjerumani maeneo ya kusini mwa Europe,North Afrika hadi Uarabuni. Kwahiyo Marekani alitibua mipango yote.

Ujue jinsi ambavyo Makamanda wa Hitler walikuwa wanamuogopa US siku Hitler ametangaza vita na US walipigwa na mshangao wengine wakaanza kusema the war is lost. Hapa ni baada ya Japan kuipiga US pale pearl harbour 1941.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…