Sure! Muingereza alijitahidi sana kumzuia Mjerumani asivuke kuingia kwenye kisiwa chake, alipigwa vibaya sana baharini hadi akaamua kurudi nyuma na kutangaza operation Barbarosa (Eastern Front to Russia).
West Europe aliyejitahidi ni Muingereza, uingereza kitu kikubwa kilichomsaidia ni intelijensia ya kujua na kugundua Mjerumani anapanga kufanya nini.
Bila US kuingia kwenye hizo vita dunia ingegawanywa vipande 3,sehemu ya Mjapan Pacifi yote hadi US.
Pili Third Reich Europe yote.Headquarters ilikuwa inaandaliwa kuwekwa pale Czechoslovakia, Fourth Reich ingekuwa Afrika makao yake makuu yalikuwa yawe South Africa.
Tatu angetawala Muitaliono (Benito Mussolini) akiwa karibu na rafiki yake Mjerumani maeneo ya kusini mwa Europe,North Afrika hadi Uarabuni. Kwahiyo Marekani alitibua mipango yote.
Ujue jinsi ambavyo Makamanda wa Hitler walikuwa wanamuogopa US siku Hitler ametangaza vita na US walipigwa na mshangao wengine wakaanza kusema the war is lost. Hapa ni baada ya Japan kuipiga US pale pearl harbour 1941.