figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #7,661
Urusi wamepelekewa moto hadi wakayakimbia mafriji waliyoiba🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhimu Musk hajakata internet. Ili mradi mawasiliano frontline yapo poa tu.Mambo Mazito, Urusi wamekata wamekata Internet huko Kherson
Unaambiwa Wauza mafuta sasa hawapokei hela ya Urusi, wanataka wapewe hela ya Ukraine. Wanahofua Kama Urusi ikiondoka noti zitawadodea
View attachment 2395359
Frontline yetu haitumii Internet ya Mrusi. Wananchi wa Mji wa Kherson ndo wamekatiwa.Muhimu Musk hajakata internet. Ili mradi mawasiliano frontline yapo poa tu.
Warusi kwa kutimua mbio wako vizuri. Swala haoni ndani 😂😂😂Wenzetu wa Georgia Frontline, wakiwa Wanawafurusha Warusi
View attachment 2395362
Kwenye hili pambano, Wamekufa Warusi 16.Warusi kwa kutimua mbio wako vizuri. Swala haoni ndani 😂😂😂
Thus Good news. 👏👏👏Kwenye hili pambano, Wamekufa Warusi 16.
Hiki ndo nachowapendea kikosi cha Drones. Hata akikosea target lazima aondoke hata na mmoja au wawili.