Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ina uwezo wa kupaa hadi altitude 800km.. Radar nyingi zinafikia 300 km. Kuna njia nyingi ya kikwepa radar. Ndo maana Ukraine ndege zao zinapita chini sana, zinakwepa kuonwa na rada. Ila hii inapita Juu sana. Lakini picha inapiga unaona hadi sindano
 
Urusi ukipost picha za wafu wao ukiwa umeficha uso hivi wanatikanana. Sijui kwanini
View attachment 2395873
Mtu ni usoni. i.e. Uso ndio unaomtambulisha(Identify) mtu kuwa ni nani. Inavyoonekana huenda hawa jamaa hawafahamiani hata wanapokuwa kwenye mission moja. Ndo maana mizoga mingine inabaki maporini huko. Ukionesha uso utasaidia utambulisho mpaka kwa ndugu zake waliodangaywa kwa fedha kidogo kwamba amepotea hajulikani aliko huko Ukraine.
 
20221024_004529.jpg
 
Jeshi la Tanzania lipo linafanya mazoezi ya Utayari huko Mtwara. Nimeona wanaonesha zana za kivita za kutungulia ndege. Moja wapo nliyoona ni Silaha ya Urusi aina ya SA-6 Gainful 2K12 Kub Ground-to-air missile system. Hizi Silaha zimeanza kutumika mwaka 1967.
20221024_005840.jpg
 
View attachment 2395983
Hizi ni taataka tu, jeshi letu linatakiwa kuingia mfukoni na kununua zana za kisasa, waachane na takataka za Mrusi.
 
Haya ni masihala sasa. Niishie hapo.
 
Hizi ni taataka tu, jeshi letu linatakiwa kuingia mfukoni na kununua zana za kisasa, waachane na takataka za Mrusi.
Nadhani imefika wakati wa kufundisha majeshi yetu kutumia Drones na kujikinga na drones. Hizi silaha za soviets zimepitwa na wakati. Mfano Urusi ina silaha nyingi za kizamani anapelekewa moto na Ukriane yenye silaha chache za kisasa.
 
Jeshi la Tanzania lipo linafanya mazoezi ya Utayari huko Mtwara. Nimeona wanaonesha zana za kivita za kutungulia ndege. Moja wapo nliyoona ni Silaha ya Urusi aina ya SA-6 Gainful 2K12 Kub Ground-to-air missile system. Hizi Silaha zimeanza kutumika mwaka 1967.
View attachment 2395983
Duh! Hizi silaha zina umri wa miaka 55 ambao ni umri wa mtu mzima na kwa mtumishi wa Serikali anaruhusiwa kustaafu. Hivi hakunaga expiration date ya hizo kitu?
 
Back
Top Bottom