Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ni kweli alisaidiwa hasa silaha,magari ya kivita, walishare intelijensia ,vyakula vya wanajeshi mpaka kuna kipindi kulitokea malumbano baina ya US na RUSSIA maana Stalin alieneza propaganda kwamba nchi yake inatoa chakula kwa wanajeshi wake US walivyojua wakawaumbua kwa kuweka charter yao na kuwataka wawaambie ukweli wapiganaji wao chakula kinatoka wapi.

Pia Stalin alimuomba Roovelt ampatie wanajeshi ila akakataa na kumwambia yeye ana watu wengi hivyo hawezi kutoa watu wake kwenda kufa vifaa alivyopewa vinamtosha.

Hii pia ilipelekea kuwepo kwa Eastern Front( Russia) peke yake na Western Front (Allied).Japokuwa Stalin alishatamani kuitawala Europe yote.

WW2 US aliplay role kubwa kuikomboa Europe, alipigana vita mbili, Pacific war (Japan),Atlantic war (Western Europe).Huko kote alikuwa anatoa full support.
Hadi mwaka 1941, Marekani lilikuwa Taifa lenye neema sana za kiuchumi. Kama siyo Marekani kuingilia kati ktk vita ya kwanza ya dunia na vita ya pili ya dunia, Ujerumani angewachakaza sana mahasimu wake. Kale kaufaransa Hitler alikapiga ndani ya miezi miwili😀😀
 
Wanajeshi wa Marekani 4,700 wa Vikosi vya anga, wanaojiita aka "Screaming Eagles", wamepelekwa Mpakani mwa Ukraine na Romania kuangazia kinachoendelea Ukriane. Wameweza kuizunhuka Snake Island.. Na wamepaisha ndege zao anga la Odessa. Pia Wanaendelea na Mazoezi Romania. Wanasema wamepata nafasi ya kuwasoma Warusi. Vita ya Anga Ukraine imefika patamu.
View attachment 2394220
Nimeshangaa sana
 
Salaam za Upendo. Good morning
20221022_040229.jpg
20221022_040239.jpg
20221022_040249.jpg
 
Mainstructors 10 wa Iran waliokuwa wanawafundisha Urusi jinsi ya kutumia Drones, Wameuawa Ukriane kwenye shambulio la anga.
View attachment 2394227
Waw! Safi mno. Hilo ni pigo takatifu maanake Warussi watakuwa na madarasa yasiyo na waalimu. Sasa Watafundishana wenyewe kwa wenyewe. e.g. std.5 anamfundisha std 3. Hahahaaa 😁 🔨
 
Ni kweli alisaidiwa hasa silaha,magari ya kivita, walishare intelijensia ,vyakula vya wanajeshi mpaka kuna kipindi kulitokea malumbano baina ya US na RUSSIA maana Stalin alieneza propaganda kwamba nchi yake inatoa chakula kwa wanajeshi wake US walivyojua wakawaumbua kwa kuweka charter yao na kuwataka wawaambie ukweli wapiganaji wao chakula kinatoka wapi.

Pia Stalin alimuomba Roovelt ampatie wanajeshi ila akakataa na kumwambia yeye ana watu wengi hivyo hawezi kutoa watu wake kwenda kufa vifaa alivyopewa vinamtosha.

Hii pia ilipelekea kuwepo kwa Eastern Front( Russia) peke yake na Western Front (Allied).Japokuwa Stalin alishatamani kuitawala Europe yote.

WW2 US aliplay role kubwa kuikomboa Europe, alipigana vita mbili, Pacific war (Japan),Atlantic war (Western Europe).Huko kote alikuwa anatoa full support.
Ukatae -Ukubali, tunasema USA ni Super power. Hapendi kuonesha ubabe lakini ukimjia kimasihara utatambua kwamba umeingia mahali pasipostahili kuingia/kujichomeka hovyo. Mfano hai ndo huyu Mrussi sasa analia lia hovyo kumbe kayataka mwenyewe. Analinywa kama alivolikoroga.
 
Back
Top Bottom