Ni kweli alisaidiwa hasa silaha,magari ya kivita, walishare intelijensia ,vyakula vya wanajeshi mpaka kuna kipindi kulitokea malumbano baina ya US na RUSSIA maana Stalin alieneza propaganda kwamba nchi yake inatoa chakula kwa wanajeshi wake US walivyojua wakawaumbua kwa kuweka charter yao na kuwataka wawaambie ukweli wapiganaji wao chakula kinatoka wapi.
Pia Stalin alimuomba Roovelt ampatie wanajeshi ila akakataa na kumwambia yeye ana watu wengi hivyo hawezi kutoa watu wake kwenda kufa vifaa alivyopewa vinamtosha.
Hii pia ilipelekea kuwepo kwa Eastern Front( Russia) peke yake na Western Front (Allied).Japokuwa Stalin alishatamani kuitawala Europe yote.
WW2 US aliplay role kubwa kuikomboa Europe, alipigana vita mbili, Pacific war (Japan),Atlantic war (Western Europe).Huko kote alikuwa anatoa full support.