ππππ Eti viboko wako kwenye tope.Ila mizoga imetapakaa utadhani ni viboko walikuwa wanajizaragaza kwenye tope- wametiwa adabu sawasawa.
Wenzetu wana Teknolojia ya hali ya Juu. Pia inapaa mbali sana.Inachukua hizo picha ikiwa angani?
Radar za adui haziioni?
Hebu nitoe ujinga kidogo.
Mtu ni usoni. i.e. Uso ndio unaomtambulisha(Identify) mtu kuwa ni nani. Inavyoonekana huenda hawa jamaa hawafahamiani hata wanapokuwa kwenye mission moja. Ndo maana mizoga mingine inabaki maporini huko. Ukionesha uso utasaidia utambulisho mpaka kwa ndugu zake waliodangaywa kwa fedha kidogo kwamba amepotea hajulikani aliko huko Ukraine.Urusi ukipost picha za wafu wao ukiwa umeficha uso hivi wanatikanana. Sijui kwanini
View attachment 2395873
Hizi ni taataka tu, jeshi letu linatakiwa kuingia mfukoni na kununua zana za kisasa, waachane na takataka za Mrusi.Jeshi la Tanzania lipo linafanya mazoezi ya Utayari huko Mtwara. Nimeona wanaonesha zana za kivita za kutungulia ndege. Moja wapo nliyoona ni Silaha ya Urusi aina ya SA-6 Gainful 2K12 Kub Ground-to-air missile system. Hizi Silaha zimeanza kutumika mwaka 1967.
View attachment 2395983
Haya ni masihala sasa. Niishie hapo.Jeshi la Tanzania lipo linafanya mazoezi ya Utayari huko Mtwara. Nimeona wanaonesha zana za kivita za kutungulia ndege. Moja wapo nliyoona ni Silaha ya Urusi aina ya SA-6 Gainful 2K12 Kub Ground-to-air missile system. Hizi Silaha zimeanza kutumika mwaka 1967.
View attachment 2395983
Duuh! Aisee; Huko yanakoenda kutua cjui panakuwaje. Ni moto kweli kweli wa hatarii.
Hi; Good morning sir.
Nadhani imefika wakati wa kufundisha majeshi yetu kutumia Drones na kujikinga na drones. Hizi silaha za soviets zimepitwa na wakati. Mfano Urusi ina silaha nyingi za kizamani anapelekewa moto na Ukriane yenye silaha chache za kisasa.Hizi ni taataka tu, jeshi letu linatakiwa kuingia mfukoni na kununua zana za kisasa, waachane na takataka za Mrusi.
Duh! Hizi silaha zina umri wa miaka 55 ambao ni umri wa mtu mzima na kwa mtumishi wa Serikali anaruhusiwa kustaafu. Hivi hakunaga expiration date ya hizo kitu?Jeshi la Tanzania lipo linafanya mazoezi ya Utayari huko Mtwara. Nimeona wanaonesha zana za kivita za kutungulia ndege. Moja wapo nliyoona ni Silaha ya Urusi aina ya SA-6 Gainful 2K12 Kub Ground-to-air missile system. Hizi Silaha zimeanza kutumika mwaka 1967.
View attachment 2395983