Hii ni wazi kuwa kuna kitu hakiko sawa. Binafsi sishangai. Ipo siku tutasikia Wagner group (Russia mercenary group) hawamtaki Putin.Warusi wanagombana wao kwa wao Frontline. Kuna nini tena? π€£π€£π€£
View attachment 2397206
Wagner group wamejidhatiti sana Zaporizhzha, Donetsk na Kherson. Majeshi ya Ukraine yanapata defensive kubwa sana maeneo hayo. Tunashindwa kusonga mbele kwa kasi tunayotamani sababu ya uzoefu wa hili group kwenye medali za kivita.Naona Warusi wameamua kuipigania Kherson siyo kama walivyokimbia mazima Kharkiv
Kakufa zakeLieutenant Colonel Vladimir Strelchenko, amekwenda na maji[emoji1787]
View attachment 2397191
Slava Ukraine [emoji1255]Kadyrovites (Chechen) au TikTok wakiwa Mkoani Kherson wamepelekewa moto balaa. 40 wamekufa na 60 kujeruhiwa... Kuna yule jaa anayewapenda TikTok, naamini hii ni habari mbaya kwake. Maji wanaita mma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2397214
Mkuu; Hivi hili kundi la Wagner si ni kundi la kukodiwa? i.e. wanafanya kazi hiyo kwa kulipwa na Urussi. Kama ndo hivo, Siku Urussi akishindwa kulipIa bill kwa Wagner basi na kundi hili litamwacha - manake biashara (au Mkataba )itakuwa imedorora.Wagner group wamejidhatiti sana Zaporizhzha, Donetsk na Kherson. Majeshi ya Ukraine yanapata defensive kubwa sana maeneo hayo. Tunashindwa kusonga mbele kwa kasi tunayotamani sababu ya uzoefu wa hili group kwenye medali za kivita.
Bila hili group kuisaidia Russia Ukraine ingekuwa imeshaanua tanga zamani.
Kiufupi kuna kazi kubwa sana ambayo Ukraine inatakiwa kuifanya ili kuikomboa mikoa hii. Tukipata mzigo wote tulioahidiwa na washirika hasa wa kulinda anga wanakimbia asubuhi kurudi kwao.
Yes, (Private Millitary) ni jeshi la kukodi.Mkuu; Hivi hili kundi la Wagner si ni kundi la kukodiwa? i.e. wanafanya kazi hiyo kwa kulipwa na Urussi. Kama ndo hivo, Siku Urussi akishindwa kulipIa bill kwa Wagner basi na kundi hili litamwacha - manake biashara (au Mkataba )itakuwa imedorora.
Kama ndio hivyo kibano anachopata Mrussi kiuchumi, Uharibifu wa miundombinu za Urussi, Upotevu wa maisha na nguvu-kazi (Vifo vya askari)n.k. vitaongeza unyong'onyevu kwa Mrussi na kudhoofika kiuchumi kiasi cha kutomudu gharama za kulipa kundi hilo. Ni muda tu utakaosema. i.e. Hiyo ya kukodi askari Wagner sio endelevu.ni suala la muda tu au tuseme hilo kundi litamgeukia Mrussi.
Na ndo kundi la jeshi Urusi analitumia siku hizi ktk nchi za west Africa kulinda maslahi yake.Yes, (Private Millitary) ni jeshi la kukodi.
Huwa napenda Muungurumo wake na madhara yake.
Kama Solo guitar πππHuwa napenda Muungurumo wake na madhara yake.
Kherson inalishwa na Crimea, kumbuka pale Crimea kuna daraja na bandari. Sema tukiikamata Donbas, ni rahisi kuikomboa Zaporizhzhia Donetsk na Luhansk. Au tuikamate kherson, ni rahisi kuikomboa Zaporizhzhia Donetsk kama unasukuma Mlevi. Kinachotia moyo ni majeshi ya Ukraine yanasonga Mbele na urusi yanarudi nyuma. Zamani Urusi ilikuwa inasonga mbele Ukraine inarudi nyuma.Warusi kukimbilia mashariki mwa mto Dnipro huko Kherson hakutawasaidia maana HIMARS zitakuwa zinajibondea concentrations zao usiku.
Na kama Ukraine ikiweza kucontrol corridor inayogawa Luhansk na Donetsk basi maana yake ni kwamba Kichwa kitakuwa kimetenganishwa na Mwili, haluna supplies zitakazoshuka chini kutokea kaskazini.
Litabaki daraja la Kerch ty kuleta supplies kutokea Urusi. Na hilo daraja naamini Waukraine
Hapa ni mchana tayari Good afternoon. Tunawatakia Muwe na mchana wenye mafanikio makubwa. Halafu Mkuu; Jioni tutupie moja, mbili hiv lakini bila kuhatarisha mwenendo wa kichapo kwa Mrussi.Good morning.. Kazi inaendelea
View attachment 2398155View attachment 2398156View attachment 2398157
Ukraine na Tanzania muda ni sawa hakuna tofauti. Kama ni saa 8 mchana na Ukraine ni saa 8 mchanaHapa ni mchana tayari Good afternoon. Tunawatakia Muwe na mchana wenye mafanikio makubwa. Halafu Mkuu; Jioni tutupie moja, mbili hiv lakini bila kuhatarisha mwenendo wa kichapo kwa Mrussi.