Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Jeshi la Ukraine likipambana vikali huko Svatove
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa Kharkiv vimebaki vijiji siyo miji vichache sana kukombolewa.Nasikia wanaume wanakaribia kuikomboa Svatove. Wakishaikamata ile barabara kuu namba 66 nasikia Warusi watakuwa hawana namna
Hapo sawa...[emoji1][emoji1]...kwa maana namna Russia inavyochakazwa humu jamii forum basi Putin angeshasarenda....Ni mtazamo tu mzee kama wachambuzi wa mpira wanavyouchambua hata kabla ya mechi kuanza.[emoji41][emoji41]
Jana nasikia vijana wa Kadyrov zimewanyeshea za kutosha. Kama 100 hivi wameuawaMpaka sasa Kharkiv vimebaki vijiji siyo miji vichache sana kukombolewa.
Tayari wanaume wameshaingia ndani ya eneo la Luhansk.
Mrusi amekaza fuvu sana Kreminna na Svatove. Mapigano ni makali sana. Kama ata retreat hayo maeneo lazima atakimbilia Severodonetsk, Lysychans'k na Rubizhne kuweka ngoma pale.
Lakini anarudishwa nyuma na siyo kusonga mbele hapo huoni anayeelemewa ni nani mkuu?Hapo sawa...[emoji1][emoji1]...kwa maana namna Russia inavyochakazwa humu jamii forum basi Putin angeshasarenda....
Nilivyosema ni mtazamo nina maana kwamba kutokana na vita inavyoendelea unaona kabisa nani anapiga na nani anazuia ili asipigwe. Anayerudishwa nyuma ndiye anapigwa.Yaani watu utafikiri mnaishi kwenye Ikulu ya Putin...asee...yaani ni shidah...
.......Kama 100 hivi wameuawa............Kiherehere chao kimewaponza.Jana nasikia vijana wa Kadyrov zimewanyeshea za kutosha. Kama 100 hivi wameuawa
Haya mambo ya kuwaona Marekani ni shetani huwaponza watu wengi sana wenye misimamo ya kiarabu........Kama 100 hivi wameuawa............Kiherehere chao kimewaponza.
Frontline Urusi anapigika tena sana tu.Hapo sawa...[emoji1][emoji1]...kwa maana namna Russia inavyochakazwa humu jamii forum basi Putin angeshasarenda....
watu hawaoni udogo wa mbinu za kivita wa Ukraine dhidi ya Urusi. Jinsi vita ilivyo ni kwamba Urusi ndiyo inapigwa. Ndiyo maana inatishia matumizi ya mabomu ya Nukilia.Frontline Urusi anapigika tena sana tu.
Urusi walifika mpaka karibia na Kyiv, lakin imepigwa mbungi ya maana mpaka sasa angalia tu mbungi inapigiwa wapi
You nailed it. Much respect. 🙏🙏Nilivyosema ni mtazamo nina maana kwamba kutokana na vita inavyoendelea unaona kabisa nani anapiga na nani anazuia ili asipigwe. Anayerudishwa nyuma ndiye anapigwa.
Russia alikuja mpaka Kiev na msururu mrefu kwa majigambo akala kichapo lakini mpka sasa hivi yupo wapi, wanamsogeza karibu na mipaka ya nchi yake.
Mfano uingie nchini kwetu uteke mikoa yote ya kusini hadi Dodoma,halafu uanze kurudishwa nyuma hadi karibu na ulipotokea, utasemaje hupigwi, kwanini unarudi nyuma na siyo kusonga mbele?
Humu kuna picha, maeneo, video zote unaonyeshwa lakini bado huamini, siyo kazi yangu kukuaminisha baki na unachaokijua, acha sisi tuendelee kushangilia ushindi wa Ukraine mkuu, mpe haki yake Putin kwa kurudi kinyumenyume labda ndio medani ya vita ya Warusi. [emoji110][emoji110][emoji110][emoji110]
Miili iliyoonekana ni 40, ukute wengine wamefia hospital. Wana mdomo sana.......Kama 100 hivi wameuawa............Kiherehere chao kimewaponza.
40 si haba. Muhimu idadi yao inapunguzwa. Imagine hawa watu wangebaki hai kila mmoja tu akiua watu 5 mpaka mwisho wa vita maana yake wangeondoa watu wasio na hatia 200. Ni damu nyingi sana. Bora wamekufa wao.Miili iliyoonekana ni 40, ukute wengine wamefia hospital. Wana mdomo sana
Ukiona hivo atakuwa anawashwa makalioni anatafuta wa kumchokonoa.... huwa yanapendaga kujitangaza kimtindo! Shenzi!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]You nailed it. Much respect. [emoji120][emoji120]
And Point driven home.You nailed it. Much respect. 🙏🙏
Yeah; Wamekufa wao tena kwa kupenda wenyewe.40 si haba. Muhimu idadi yao inapunguzwa. Imagine hawa watu wangebaki hai kila mmoja tu akiua watu 5 mpaka mwisho wa vita maana yake wangeondoa watu wasio na hatia 200. Ni damu nyingi sana. Bora wamekufa wao.