Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wanagombana wao kwa wao Frontline. Kuna nini tena? 🤣🤣🤣
View attachment 2397206
Hii ni wazi kuwa kuna kitu hakiko sawa. Binafsi sishangai. Ipo siku tutasikia Wagner group (Russia mercenary group) hawamtaki Putin.

Hili group ndo linafanya vita iwe ngumu na kwenye hii vita Wagner militia group wana play role kubwa sana kuliko hata jeshi la Russia sababu ya uzoefu wao kwenye vita. Siku majeshi yote ya Russia including Wagner group wakifurushwa Ukraine, sitashangaa kusikia mzozo kati ya Putin na hilo group. Kwa kuwa lina nguvu lina uwezo wa kumwondoa Putin madarakani kwa kushirikisha na wanasiasa wa Russia.

Ukraine haisongi mbele kwa kasi Donetsk, Kherson na Zaporizhzha sababu hawa jamaa (Wagner group) wamejidhatiti sana maeneo hayo yenye rasilimali nyingi na utajiri mkubwa. Wagner group wananufaika sana na kufurushwa pale ni kukoseshwa rasilimali wanazochuma hapo.
 
Naona Warusi wameamua kuipigania Kherson siyo kama walivyokimbia mazima Kharkiv
Wagner group wamejidhatiti sana Zaporizhzha, Donetsk na Kherson. Majeshi ya Ukraine yanapata defensive kubwa sana maeneo hayo. Tunashindwa kusonga mbele kwa kasi tunayotamani sababu ya uzoefu wa hili group kwenye medali za kivita.

Bila hili group kuisaidia Russia Ukraine ingekuwa imeshaanua tanga zamani.

Kiufupi kuna kazi kubwa sana ambayo Ukraine inatakiwa kuifanya ili kuikomboa mikoa hii. Tukipata mzigo wote tulioahidiwa na washirika hasa wa kulinda anga wanakimbia asubuhi kurudi kwao.
 
Mkuu; Hivi hili kundi la Wagner si ni kundi la kukodiwa? i.e. wanafanya kazi hiyo kwa kulipwa na Urussi. Kama ndo hivo, Siku Urussi akishindwa kulipIa bill kwa Wagner basi na kundi hili litamwacha - manake biashara (au Mkataba )itakuwa imedorora.
Kama ndio hivyo kibano anachopata Mrussi kiuchumi, Uharibifu wa miundombinu za Urussi, Upotevu wa maisha na nguvu-kazi (Vifo vya askari)n.k. vitaongeza unyong'onyevu kwa Mrussi na kudhoofika kiuchumi kiasi cha kutomudu gharama za kulipa kundi hilo. Ni muda tu utakaosema. i.e. Hiyo ya kukodi askari Wagner sio endelevu.ni suala la muda tu au tuseme hilo kundi litamgeukia Mrussi.
 
Yes, (Private Millitary) ni jeshi la kukodi.
 
Good morning.. Kazi inaendelea
20221026_090441.jpg
20221026_090504.jpg
20221026_090511.jpg
 
Warusi kukimbilia mashariki mwa mto Dnipro huko Kherson hakutawasaidia maana HIMARS zitakuwa zinajibondea concentrations zao usiku.

Na kama Ukraine ikiweza kucontrol corridor inayogawa Luhansk na Donetsk basi maana yake ni kwamba Kichwa kitakuwa kimetenganishwa na Mwili, haluna supplies zitakazoshuka chini kutokea kaskazini.

Litabaki daraja la Kerch tu kuleta supplies kutokea Urusi. Na hilo daraja naamini Waukraine watadeal nalo perpendicular
 
Warusi kukimbilia mashariki mwa mto Dnipro huko Kherson hakutawasaidia maana HIMARS zitakuwa zinajibondea concentrations zao usiku.

Na kama Ukraine ikiweza kucontrol corridor inayogawa Luhansk na Donetsk basi maana yake ni kwamba Kichwa kitakuwa kimetenganishwa na Mwili, haluna supplies zitakazoshuka chini kutokea kaskazini.

Litabaki daraja la Kerch ty kuleta supplies kutokea Urusi. Na hilo daraja naamini Waukraine
Kherson inalishwa na Crimea, kumbuka pale Crimea kuna daraja na bandari. Sema tukiikamata Donbas, ni rahisi kuikomboa Zaporizhzhia Donetsk na Luhansk. Au tuikamate kherson, ni rahisi kuikomboa Zaporizhzhia Donetsk kama unasukuma Mlevi. Kinachotia moyo ni majeshi ya Ukraine yanasonga Mbele na urusi yanarudi nyuma. Zamani Urusi ilikuwa inasonga mbele Ukraine inarudi nyuma.

Uzuri ni kwamba siku zinavyoenda Urusi inanyong'onyea huku Ukraine ikinawili sababu Wanajeshi wetu wengi waliokuwa mafunzoni Nje ya Nchi wameanza kuhitimu. Mwisho wa mwezi wa 11 Wanajeshi wa mabomu ya nyuklia wanahitimu, Kikosi cha anga wamehitimu. Kikosi cha maji wamehitimu, kikosi cha ardhini wapo kazini wanaongezewa nguvu. Marekani imeongezea nguvu kikosi cha aanga ili kupambana na Drone hadi sasa wanafanya vizuri.
 
Nimefurahi pia wale wabunge wa Democrats waliomwandikia Biden barua ya kutaka diplomasia zaidi na Urusi wameondoa(kuretract) barua yao baada ya kuwa framed kuwa wanafuata misimamo ya republicans wanaotaka kusitishwa kwa misaada kwa Ukraine, na pia baada ya kuwa framed kuwa Wanataka kumsaidia dikteta Putin apate unafuu wakati keshaanza kutepeta!
 
Hapa ni mchana tayari Good afternoon. Tunawatakia Muwe na mchana wenye mafanikio makubwa. Halafu Mkuu; Jioni tutupie moja, mbili hiv lakini bila kuhatarisha mwenendo wa kichapo kwa Mrussi.
Ukraine na Tanzania muda ni sawa hakuna tofauti. Kama ni saa 8 mchana na Ukraine ni saa 8 mchana
 
Back
Top Bottom