Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Putin naona kama kachanganyikiwa vile. Eti anataka negotiations ifanyike ili wasaini makubaliano ya wao kuyakalia maeneo walioteka (Zaporizhzhia, Donetsk, Kherson na Luhansk) kwa miaka 7 then wanamwachia Ukraine. Eti hatakaa kamwe aondoke hayo maeneo bila kuwa na makubaliano maalum.

Yaani unavamia nyumbani kwa mtu then unajipangia ukae kwa muda gani ndo uondoke.
Mjinga sana huyo jamaa. Kwanza Maeneo makubwa kama yalivyotajwa hapo juu, ameshafurumushwa kwa gharama kubwa halafu sasa eti anataka negotiations ili arudishiwe hayo maeneo na aendelee kuyakalia kama awali kana kwamba aliyatoa kwa hiari. Pumbafu kweli. Dah! Sijui wale wazee wa HIMARS leo wako wapi ili waisikie hoja yake hiyo ya kifeddhuli na wampatie majibu anayostahili huyu mshenzi Putin.
 
lieutenant colonel Radionov D.V
20221027_144111.jpg
20221027_144114.jpg
 
Putin naona kama kachanganyikiwa vile. Eti anataka negotiations ifanyike ili wasaini makubaliano ya wao kuyakalia maeneo walioteka (Zaporizhzhia, Donetsk, Kherson na Luhansk) kwa miaka 7 then wanamwachia Ukraine. Eti hatakaa kamwe aondoke hayo maeneo bila kuwa na makubaliano maalum.

Yaani unavamia nyumbani kwa mtu then unajipangia ukae kwa muda gani ndo uondoke.
Meli ya kubeba ndege ya Marekani iitwayo USS George H. W. Bush (CVN-77), ipo Ulaya Muda huu. Wafanyakazi wa Meli hiyo wanasema wapo tayari kupambana na Urusi kukiwepo Ulazima. Kumbuka hata Kikosi cha anga kilichopo Romania kimesema kipo tayari kupambana na Urusi. Marekani ni kama anamtamani Mrusi vile🤣🤣
20221027_145102.jpg
 
Israeli imetoa msaada wa SmartShooter kwa Ukraine ili kupambana na Drones. Zinatumia radar. Israel ina silaha nzuri sana... Walete mzigo wa kutosha kama Poland inavyofanya
View attachment 2399462
Aisee! Kweli wanasema kua uyaone. Sisi tuaishangaa smart phone(aka simu janja) kumbe wapo watu waliofikia kiwango cha SmartShooter. Asante mkuu.
 
Putin naona kama kachanganyikiwa vile. Eti anataka negotiations ifanyike ili wasaini makubaliano ya wao kuyakalia maeneo walioteka (Zaporizhzhia, Donetsk, Kherson na Luhansk) kwa miaka 7 then wanamwachia Ukraine. Eti hatakaa kamwe aondoke hayo maeneo bila kuwa na makubaliano maalum.

Yaani unavamia nyumbani kwa mtu then unajipangia ukae kwa muda gani ndo uondoke.
Sasa akiyakalia miaka saba, si atalijenga jeshi lake na atajizatiti asiweze kupndolewa tena?

Kumbuka Urusi ilisaini mkataba wa Budapest wa Ukraine kuachia silaha zao za Nyuklia na Urusi itaheshimu mipaka yake ikiwemo Crimea. Guess kitu gani kimetokea baada ya hapo?- Ni Urusi kuvamia Ukraine na kijaribu kutwaa ardhi yake!
 
1. Mikoa hiyo ina utajiri mkubwa sana wa rasilimali. Anataka avune hizo rasilimali.
2. Baada ya miaka 7 atakuwa kajiimarisha kijeshi humtoi tena zaidi atatamani maeneo mengime.
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Kwa kweli Mrussi ni jeuri na mbabaishaji mno- Hafai yule- hana kauli. Atawabadilikia chap.
 
Back
Top Bottom