Myahudi akitia mguu mahali lazima kieleweke. Hajawahi kushindwa popote.
Maisha yenu israel hawezi pigana against Russia, habar zenu mmapata wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Myahudi akitia mguu mahali lazima kieleweke. Hajawahi kushindwa popote.
Mkuu, sina uhakika na ulisemalo ni kwa nini hawezi ila Israeli huyo tunayemsema hapa kasaidia au katoa SmartShooters kwa ajili ya kupambana na drones za Urussi. Sasa ww utajua kama anapigana na Mrussi au anapigana na drones za Mrussi.Maisha yenu israel hawezi pigana against Russia, habar zenu mmapata wap
Yes, inavinjari kwenye pwani (Baltic sea) ya Lithuania na Poland. Putin akileta ujinga wana respond.Meli ya kubeba ndege ya Marekani iitwayo USS George H. W. Bush (CVN-77), ipo Ulaya Muda huu. Wafanyakazi wa Meli hiyo wanasema wapo tayari kupambana na Urusi kukiwepo Ulazima. Kumbuka hata Kikosi cha anga kilichopo Romania kimesema kipo tayari kupambana na Urusi. Marekani ni kama anamtamani Mrusi vile🤣🤣
View attachment 2399451
Mrussi asipoweza kuzisoma alama za nyakati katika hili, Watamzibua kishenzi yan.Meli ya kubeba ndege ya Marekani iitwayo USS George H. W. Bush (CVN-77), ipo Ulaya Muda huu. Wafanyakazi wa Meli hiyo wanasema wapo tayari kupambana na Urusi kukiwepo Ulazima. Kumbuka hata Kikosi cha anga kilichopo Romania kimesema kipo tayari kupambana na Urusi. Marekani ni kama anamtamani Mrusi vile🤣🤣
View attachment 2399451
Hakuna mkate mgumu kwenye chai. Mdogo mdogo njemba imelainika anataka mazungumzo.Yes, inavinjari kwenye pwani (Baltic sea) ya Lithuania na Poland. Putin akileta ujinga wana respond.
Ndiyo maana Putin kwenye hotuba yake leo kasema yuko tayari kufanya mazungumzo na USA & NATO kuhusu nukes weapons kwa ajili ya future.
Mwenzake atakuwa amefariki nini?Dakika nne za Mapambano ya Urusi na Ukriane huko Bakhmut. Bampa kwq bampa🤣🤣
View attachment 2399825
Ndo anampa backup. Yupo kwenye handaki hapo. Ulitaka waende wote akosekane wa kunyanya mwenzie? 🤣🤣.Mwenzake atakuwa amefariki nini?
Ndioooooo tena NdiooooooMeli ya kubeba ndege ya Marekani iitwayo USS George H. W. Bush (CVN-77), ipo Ulaya Muda huu. Wafanyakazi wa Meli hiyo wanasema wapo tayari kupambana na Urusi kukiwepo Ulazima. Kumbuka hata Kikosi cha anga kilichopo Romania kimesema kipo tayari kupambana na Urusi. Marekani ni kama anamtamani Mrusi vile[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2399451
Slava Ukraine [emoji1255]SSO AZOV, wameteka kifaru cha Urusi aina ya T-90 MBT
View attachment 2399868
Jamaa hana tofauti na ngiri aliyefukuzwa na mbwa mwitu akaingia kwenye shimo. 😂😂😂😂Dakika nne za Mapambano ya Urusi na Ukriane huko Bakhmut. Bampa kwq bampa🤣🤣
View attachment 2399825
Eti sasa ndo anaanza kuwaza future ya dunia. Kashalegea huyo 😂😂😂Hakuna mkate mgumu kwenye chai. Mdogo mdogo njemba imelainika anataka mazungumzo.
Kamshindiliwa risasi za maana. Kuna mwingine naona yuko kwenye shimo lingineInaendelea hapa
View attachment 2399841