Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Root Zimepanda bei, sijui sababu ya hii Vita. Sasa moja yauzwa US$40,000.
 
Hawatafikisha mwezi wanaachia Kherson

Sent using Jamii Forums mobile app
Mji niupendao Odessa,Warusi wameshindwa kupenya😂😂 Walijaribu kutumia Meli wapi,wakatua na Miamvuli lakini wapi. Odessa walijiandaa na vita mapema. Ndo mji watu wachache wamekimbia. Walipewa Silaha kila mtu ana yake. Wanawasubiri Warusi. Kherson inakombelewa Siku mbili hizi. Ukraine Jumanne iliongeza Wanajeshi na Vifaa hapo Kherson
 
Urusi ataondolewa kwa aibu sana, Luhansk na Donesk lazima zirudi kwa nguvu...
Vita ikiisha Ukraine itajiimarisha sana kivita kuliko wakati wowote ule.

Majirani wote wa Urusi watajiimarisha sana kivita na wengi watakuwa NATO au EU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kherson ileeee... Ila kuiteka imekua mbinde. Itakombolewa tu. Inabidi ukanyage kifaru kilipokanyaga ili usilipuliwe na mabomu ya kutegwa Ardhini🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Mungu akipenda, hadi jumapili tutakuwa tumeirudisha Kherson. Ila nahofia watu watakufa sana kuliko Bucha. Wanaomba Silaha, na hawaogopi majeshi ya Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Hii vita nilidhani ingemchukua Russia siku chache tu awe ameiweka Ukraine mikononi mwake lakini shughuli anayokutana nayo si mchezo. Hii vita imeonesha udhaifu mkubwa sana kwa jeshi la Russia, magari na vifaru vyao kwa mfano vibovu sana pia wanajeshi wengi wa Russia afya mbovu sana. Putin ana mawazo ya ki Soviet era sana alidhani Ukraine ni Syria .
 
R.I.P , kwa hiyo picha ndio hatutapata tena au?🙄
Picha zipo. Kuna waandishi zaidi ya 300. Hapa naweka picha moja kati ya 10. Picha zipo nyingi. Sasa macho tuelekeze kwa Waandishi walio Kherson Odessa Luhansk na Donesk

Tatizo Urusi wameikamia sana Izyum. Siku ukisikia Ukraine tumeichukua Izyum jua Urusi ndo bye bye. Urusi wameweka vifaa vingi Izyum, si ndege wala Kifaru kinakatiza. Tunataka tuwazunguke.. Tiwaache wakae hapo halafu sisi tupambane wilaya Jirani warusi tuwaweke mtu kati. Raia watakufa sana, ila hakuna jinsi.
 
Walijua wanapambana na Ukraine kama Ukraine, hawakujua Ukraine ana marafiki
 
Asante sana Slovakia kwa msaada wako kwa Ukraine wa S-300PMU SAM battery, 8x Transport trucks/trailers, kwaajili ya 5V55R missiles, 2x 5T58-2 missile transporters, 5P85DU TEL, 2x 40V6M mobile mast kwa ajiku ya 76N6 Low Altitude Acquisition Radar. Hapa chini nitaweka ufafanuzi wa kila zana za kivita walizotoa.
Your browser is not able to display this video.

 
Ukisikia magari aina ya 8x Transport trucks na Matela yake ambayo Slovakia wametoa, ni haya.
 
Tupashe habari pia kuhusu kituo cha train kilicholipuliwa leo huko Ukraine.
 
Hizi ndo 5P85DU TEL ambazo Slovakia katoa msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…