Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Maisha yenu israel hawezi pigana against Russia, habar zenu mmapata wap
Mkuu, sina uhakika na ulisemalo ni kwa nini hawezi ila Israeli huyo tunayemsema hapa kasaidia au katoa SmartShooters kwa ajili ya kupambana na drones za Urussi. Sasa ww utajua kama anapigana na Mrussi au anapigana na drones za Mrussi.
 
Yes, inavinjari kwenye pwani (Baltic sea) ya Lithuania na Poland. Putin akileta ujinga wana respond.

Ndiyo maana Putin kwenye hotuba yake leo kasema yuko tayari kufanya mazungumzo na USA & NATO kuhusu nukes weapons kwa ajili ya future.
 
Mrussi asipoweza kuzisoma alama za nyakati katika hili, Watamzibua kishenzi yan.
 
Yes, inavinjari kwenye pwani (Baltic sea) ya Lithuania na Poland. Putin akileta ujinga wana respond.

Ndiyo maana Putin kwenye hotuba yake leo kasema yuko tayari kufanya mazungumzo na USA & NATO kuhusu nukes weapons kwa ajili ya future.
Hakuna mkate mgumu kwenye chai. Mdogo mdogo njemba imelainika anataka mazungumzo.
 
Ndioooooo tena Ndioooooo
 
Dakika nne za Mapambano ya Urusi na Ukriane huko Bakhmut. Bampa kwq bampa🀣🀣
View attachment 2399825
Jamaa hana tofauti na ngiri aliyefukuzwa na mbwa mwitu akaingia kwenye shimo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Bora ange surrender kuliko kukaza fuvu wakati yuko ndani ya shimo kama nungu nungu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…