figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #7,861
Russia ana nini? Hizo Propaganda zenu wapelekeeni wapuuzi wenzenu uko.Maisha yenu israel hawezi pigana against Russia, habar zenu mmapata wap
Ateme bungo kwanza. 😂 😂Eti sasa ndo anaanza kuwaza future ya dunia. Kashalegea huyo 😂😂😂
Hahahaa, Mobilsed? Wamechoka na wanaona aibu kutambulika kama ni askari.
From this end-Good morning sir. Baridi ndo limeanzaa nn. Mbona hao jamaa kila mmoja kajikobeka boshori ?Good morning. Urusi hawaamini macho yao. Walijua Ukriane ni shamba la bibi
View attachment 2400179
Hivi vifaa vya kijeshi vinavyotekwa na kuanza kutumiwa upande wa Ukraine hakuna namna mmiliki wake wa awali anaweza kuvitrack kirahisi na kushambulia?yaani huwa havina devices labda za kuonesha location nkSSO AZOV, wameteka kifaru cha Urusi aina ya T-90 MBT
View attachment 2399868
Hilo nalo neno. Ila si vinaendaga kwanza kufanyiwa chek-up na maintenance ili viweze kuingia mzigoni tena bila kuleta changamoto za kifundi?Hivi vifaa vya kijeshi vinavyotekwa na kuanza kutumiwa upande wa Ukraine hakuna namna mmiliki wake wa awali anaweza kuvitrack kirahisi na kushambulia?yaani huwa havina devices labda za kuonesha location nk
Wanasema "Njia ya mwongo ni fupi". Tayari ameshasahau kile alichoripoti awali na hiki anacchoripoti sasa. Hiki cha sasa ndicho cha ukweli.Huyu Mwandishi wa Russia 24 TV, kipindi HIMARS zinashumbulia Shakhtarsk alidai hakuna uharibifu wowote uliosababishwa na HIMARS. Leo kajichanganya kapost uharibifu.
View attachment 2400280
Kongole Ukraine.Waukraine wamefanikiwa kuvunja defence line ya Warusi huko kaskazini mwa Svatove, wameingia deep ndani ya eneo lililokuwa likishikiliwa na urusi
Slava Ukraine [emoji1255]Good morning. Urusi hawaamini macho yao. Walijua Ukriane ni shamba la bibi
View attachment 2400179
Tunawaombea ushindi na tunawapongeza kwa kuipigania nchi yao kwa moyo mmoja.Waukraine wamefanikiwa kuvunja defence line ya Warusi huko kaskazini mwa Svatove, wameingia deep ndani ya eneo lililokuwa likishikiliwa na urusi
Kweli vita ni vita mura,naona wote wana manunduGood morning. Urusi hawaamini macho yao. Walijua Ukriane ni shamba la bibi
View attachment 2400179