figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #7,881
Lawama zote kwa putin,za kuambiwa hawakuchanganya na za kwaoHawa sio Frontline wa Urusi bali ni Maafisa wa Jeshi wa Urusi wanaodili na logistics. Miili yao imerudi toka Urusi. Urusi wasingeanzisha vita, hawa wasingekufa. Hasara kwao
View attachment 2400784
Stores zao ni chini ya miti. Maghala hayalipi tena wanamwogopa HIMARS
👏👏👏safi sana. afadhari dawa inaanza kupatikana. Washenzi hawa wametesa wananchi wa Ukraine.Anti-Air ya Ujerumani ilivyo zidaka Drones zote za Iran zilipojaribu kushambulia Ukraine. Kazi nzuri
View attachment 2400951
Naam. Ni zawadi maridhawa kutoka kwa Mrussi. Ukraine Msisahau kutuma NENO la shukrani kwa Urussi.
Hii sentensi "Anti-Air ya Ujerumani ilivyo zidaka Drones zote za Iran...." imenifurahisha mno mno. Hapo Mrussi atakuna kichwa mpaka chote kiwe ni upara. Alichokuwa akitamba nacho sasa kwishney.Anti-Air ya Ujerumani ilivyo zidaka Drones zote za Iran zilipojaribu kushambulia Ukraine. Kazi nzuri. Hapa ni Odessa. Warusi waachane na Odessa, ishawashinda. Hakina Mrusi katia Mguu Odessa tangu Vita ianze, kila anayekuja anakatwa kichwa
View attachment 2400951