Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu ni Lyubov(Love) Mkuu wa Vifaru vya Ukraine Frontline. Kifaru kikitekwa au kupotea, Taarifa zinafika kwake.
20221028_232809.jpg
 
Siku mbaya kwa Warusi. Hawa kwenye Video ni Ukraine, Walirushiwa grenade bahati nzuri ikagonga mti na kuwarudia kwenye handaki. Ikabidi wawaminie risasi kuwamalizia.. Huyo jamaa anakimbia bomu lipasuke akiwa mbali, kumbe limerudi lilipotoka🤣🤣
 
Anti-Air ya Ujerumani ilivyo zidaka Drones zote za Iran zilipojaribu kushambulia Ukraine. Kazi nzuri. Hapa ni Odessa. Warusi waachane na Odessa, ishawashinda. Hakina Mrusi katia Mguu Odessa tangu Vita ianze, kila anayekuja anakatwa kichwa
 
View attachment 2400951
Hii sentensi "Anti-Air ya Ujerumani ilivyo zidaka Drones zote za Iran...." imenifurahisha mno mno. Hapo Mrussi atakuna kichwa mpaka chote kiwe ni upara. Alichokuwa akitamba nacho sasa kwishney.
 
Back
Top Bottom