figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #761
Urusi wameshambulia kituo cha treni cha Kramatorsk ambacho ni sehemu ya Wakimbizi wanaokimbia kutoka Ukraine kwenda nchi jirani. Walikuwa wanasubiri treni. Si wanajeshi hawa.
Nashauri Urusi Makapambane na wanajeshi wa Ukraine Frontline kuliko kuonea hawa Wakimbizi
View attachment 2180621View attachment 2180622View attachment 2180623
Ndo maana nimeweka ili ufurahi. Sio kwamba sijui ila siwezi sambaza au kufurahia habari za Wavamizi. Soma maelezo yangu post #1. Nimesema nina upande, na nitaandika habari za Askari wa Ukraine walio Frontline tu. Nyingine sihangaiki nazo. Hii nimeweka sababu uliomba. Niulize kinachoendea mafanikio ya jeshi la Ukraine. Ukitaka kujua habari za Urusi, waulize wafuatiliaji na mashabiki wao. So kama mimi kupost habari za Ukraine haikufurahishi na inakukera, usifungue uzi, fuatilia threads za Urusi.Hizi ndizo habari za upande wa pili tungependa kuzisikia.