Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Tarehe 05 Machi jeshi la Ukraine lilifanya kazi kubwa.. Ndege kadhaa ziliangusha na Marubani 6 walikamatwa
Your browser is not able to display this video.
 
Kaskazini Mashariki mwa Kharkiv majeshi ya Urusi yalitelekeza magari baada ya kupata kipigo kikubwa.. Ikabidi warudi nyuma. Majeshi ya Ukraine yalisimama Imara. Waliteka vifaa kama Tiger M, na Vifaru aina ya T-72B3M vya Urusi. Hii ni tarehe 05 Mchi 2022 tu.
Your browser is not able to display this video.
 
Ile misururu ya Magari sijui KM ngapi yalokuwa yamesimama kusubiri kuingia Kharkiv. Angalia yalivyo tengenezwa tarehe tano. Hapa wanajeshi wengi wa Urusi walikufa kwenye hii Ambush. Ilikuwa tarehe 05 Machi 2022
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi ni D-30 howitzers za Urusi. Hapa ni karibu na Mkoa wa Mykolayiv. Vifaa vya Urusi vilibaki Majivu.

Your browser is not able to display this video.
 
Hizi D-30 howitzers za Urusi zilizoharibiwa na Majeshi ya Ukraine karibu na Mji wa Mykolayiv. Tarehe 06/03/2022
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi wa Ukraine walifanya ambush kwa Majeshi ya Urusi maeneo ya Kharkiv. Walifanikiwa kuteka Vifaa vingi vya Urusi. Marubani wawili pia walidondoshwa. Hapo ni tarehe 06Machi 2022. Hivi Vifaru vya Urusi vilivyotekwa ni aina ya BMD-2s. ilikuwa ni Mykolayiv

Your browser is not able to display this video.

Tarehe 07 Machi 2022 ilianza kwa kiahindo. Hivi vifaa vilikamatiwa maeneo ya Luhansk, Sievierodonetsk. Sumy na kherson oblast. Vifaru vya Urusi
BMP-2 na MT-LB viliharibiwa.

Your browser is not able to display this video.
 
Ndege za Urusi aina ya Su-34 na Su-30 fighter jet zilitunguliwa Maeneo ya Popasna na Luhansk Oblast.
 
Ile convoy ya Urusi ilivyoteketezwa maeneo ya Lugansk wakiwa wanaitafuta Kyiv. Hapia Urusi alipoteza sana. MT-LB za Urusi zilizoharibiwa vibaya mno. Ilikuwa Tarehe 08 Machi 2022
 
Wanajeshi wa Ukraine wakipokea mzigo mpya wa Silaha za NLAW anti-tank systems and Javelins kutoka UK. Hii Silaha imeharibu sana Vifaru vya Urusi.

Hii Video inaonesha jinsi inavyofanya kazi. Hapo walilipua Kifaru cha Urusi. Ilikuwa tarehe 08 Machi 2022
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…