Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine wakiwa wameitungua Mi-35M attack helkopta RF-13017. Ilikuwa tarehe 08 Machi 2022.
 
Kundi la Wanajeshi wa Urusi wakiwa wametekwa nyara Mkoani Mykolaiv. Wengine wanadai wameshapewa dawa waliyokuwa wanaitafuta Ukraine. Ilikuwa tarehe 08 Machi 2022
 
Waziri wa Ulinzi wa zamani wa Georgia Irakli Okruashvili, akiwa Uwanja wa Vita kuwasaidia Wanajeshi wa Ukraine. Pia kuna Wanajeshi wa kujitolea kutokea Nchi ya Canada.
20220321_053544.jpg
20220321_053555.jpg
20220321_053558.jpg
20220321_053610.jpg
 
Azov Special Operations Detachment(SOD) Wakifanya yao.. Tarehe 08 Machi 2022. Urusi walikunywa dawa watu Wanajeshi wengi waliopo Ukraine.
20220321_053831.jpg
 
Hii Video ni ya Kifaru cha Urusi aina BMD-2 kikiwa kimeharibiwa maeneo ya Kherson Oblast.
 
Hivi Vifaru vilivyotekwa ni vya Urusi aina ya T-80BVM na T-80Us. Na hilo ni gari la Ugavi la Urusi likiwa limeteketea. Magari haya huwa yanasambaza Silaha na vyakula kwa Wanajeshi.
20220321_054336.jpg
20220321_054325.jpg
20220321_054331.jpg

Wanajeshi wa Ukraine wa Mji wa Irpin, wakiwa wamebeba M72 EC LAWs. Denmark ndo waliowapa huu msaada wa M72 EC LAWs silaha za kuharibu Vifaru na Magari ya Urusi
20220321_054306.jpg
20220321_054302.jpg
20220321_054257.jpg
 
Tarehe 09 Machi hali haikuwa nzuri kwetu. Tuliishia kuteka 9K33 Osa. The 9K33 Osa is a highly mobile, low-altitude, short-range tactical surface-to-air missile. Hii Osa Ukraine waliiharibu kwa Mizinga.
20220321_063013.jpg

Na kifaru cha BTR-80.
 
Tarehe 09 Machi tulizidiwa Mbinu. Hawa Warusi walifanikiwa kuteka kifaru cha Ukraine aina BTR-4 Mkaoni Kharkiv.
20220321_063648.jpg

Na hili shimo ni bomu la Urusi lilitua hapa kwenye makazi ya watu
20220321_063632.jpg
 
Hili bomu lilitua Donbass ila halikulipuka.. So hapa Wanajeshi wa Ukraine wanaliharibu kabla ya kulipuka. Wanafanya Defuzing. Hii ni aina ya OFZAB-500. Haya ni mabomu hatari sana.

OFZAB-500 Aircraft Bomb. This is the Russian OFZAB-500 (ОФЗАБ-500), a low-drag, high-speed, low-level, incendiary bomb with additional high-explosive (HE) fragmentation effect for use against troops and vulnerable material in the field, stores and fuel depots.
 
Upuuzi mtupu umeajiliwa na mabeberu, mtu mwenye akili timamu hawezi kukuelewa na propaganda za ajabu

Stand with Russian.

Acha wapigwe mbn upande wa pili uonyeshi.
 
Tarehe 10 Machi 2022, Urusi walitandikwa haswa. Hapa walitelekeza kifauru aina ya APC. Kazi yake ni kusafirisha wanajeshi uwanja wa Mapambano.
 
Mabaki ya ndege ya Urusi SU-27 iliyodondoshwa tarehe 10 Machi 2022. ilikuwa inakatiza mji wa Kiyv.
20220321_070054.jpg
20220321_070058.jpg

Na hiki ni kifaru cha Urusi kilitelekezwa baada ya kuzama kwenye tope.

20220321_070049.jpg
 
Upuuzi mtupu umeajiliwa na mabeberu, mtu mwenye akili timamu hawezi kukuelewa na propaganda za ajabu

Stand with Russian.

Acha wapigwe mbn upande wa pili uonyeshi.
Upande wa pili anzisha thread yako na utuoneshe wewe. Mimi sipo huko. Just niulize upande wa Ukraine. Unataka nikuoneshe Wanajeshi wenu wa Urusi wanavyochinjwa? Au nikuoneshe wanavyopigiliwa Msumari kichwani? Chagua. Mlisema Mtaiteka Kyiv ndani ya siku 3. Sasa unakaribia mwezi. Mnakwama wapi? Hata Kharkiv mumeshindwa kuiteka🤣🤣

Kawafufue nduguzo hawa. Hawa tuliwapa dawa Kharkiv Kaskazini halafu tukawalaza kwa umbo la "Z".

Nambie, bado unaka kuona mizoga ya ndugu zako?

Niache nipost Frontline ya Ukraine.
 
Kifaru aina ya T72B1 karibu na mji wa Sumy. Ilikuwa tarehe 10 Machi 2022
 
Hii video imechululiwa kwenye side mirror wakati Ukraine wakiwafurumishia makombora Urusi.. Ni faya...!
 
Back
Top Bottom