Yeah. Hao mbu sidhani kama watabagua ni nani watamng'ata na yupi wamwache kwani sio mlengwa. Ni hatari kwa pande zote.very dangerous,hio sio plague ya dunia imeannza hivo???
Katika kipindi cha Mradi mkubwa wa uzalishaji zao la karanga The groundnut project Kongwa Tanzania kulijitokeza changamoto ya uwepo wa panya wengi waharibifu wa zao hilo la karanga. Wataalam enzi hizo wakashauri kutumia nyoka kama sustainable biological control.Nyoka waliopendekezwa ni nyoka aina ya kifutu(puff adder). Nyoka hao walikubalika na wakawa mobilised kutoka nchini Malawi. Kweli walioletwa walikula sana panya wasumbufu na tatizo likawa solved.Lakini nyoka hao walizaliana kwa wingi na kuendelea kuwepo na hivyo ikawa tena ni changamoto (Tishio) kwa binadamu kwani waling'ata watu na kusababisha madhara makubwa.Ok, asante
Watu wataanza kuelewa. Vita ya Kibailojia ni mbaya sana.. Inakuua wewe na uzao wako. Unatibiwa huponi. Hata akikukojolea tu umekwisha. Wengine wanakunyea acha kung'ata na kuuma.Kwisha sisi Tena hayo maumbu yafike Afrika!💀Kuna mengine ya aina yako Nakuru Kenya sehemu flani,yakikushambulia yanaacha mayai baada ya siku moja unaanza kutokeza minyongororo yanatambaa kwa ngozi unaliwa hai Kama cancer🙈sijui ilikuwa experiment ya hao mabeberu??waaah dunia hatari!!!
Jamani mbona Nyani kesha tema bungo? Mrussi amekwisha dhihirisha kumalizika kwake ndo maana anakaa mbali kazi ni kurusha drones, makombora na vitisho vingi(Anabweka). Hathubutu kusimama na kutazamana uso kwa uso na Ukraine. Sasa hizo mbu, nyuki, popo n.k tena za nini jamani? Je, hao wadudu hatari wakitoroka itakuwaje??? Ukizingatia kwamba Ukraine(Daudi) ameshamkamatia Mrussi (Goliath) chini basi sasa iwe ni kupiga tu kama ngoma - ukitaka za usoni piga, za mgongoni piga, za tumboni piga; yani ni kupiga tuuu. Chonde Biological warfare is the most destructive weapon. Pls Avoid it at any cost.Watu wataanza kuelewa. Vita ya Kibailojia ni mbaya sana.. Inakuua wewe na uzao wako. Unatibiwa huponi. Hata akikukojolea tu umekwisha. Wengine wanakunyea acha kung'ata na kuuma.
[emoji1][emoji1][emoji1]mazungumzo hakuna mpaka atoke wanajeshi wake. Otherwise mbungi ipigwe tuUrusi kasema yuko tayari kwa Mazungumzo
Hawa mbu wana maradhi. Wakimwagwa kwenye kambi ni mtafutano.. Wananusa damu ya binadamu. Wana siku za kuoshi, na imbali wa Kuruka. Hawazaliani. Hawa ni wa maabara. Ni kama mayai ya kisasa utake yatotoe. Ni mambo ya Teknolojia...Yeah. Hao mbu sidhani kama watabagua ni nani watamng'ata na yupi wamwache kwani sio mlengwa. Ni hatari kwa pande zote.
Naam; kazi kama kazi jombaaa.Wakuu, Kherson inatia matumaini. Urusi tia maji tia maji. Wameishiwa Silaha, risasi na vyakula. Mobilized wanajisalomisha. Au wanaogopa Mbu laki tatu? Kherson inaenda kukombolewa
View attachment 2411525
Eee, hiyo kali. Kumbe wako controlled kiasi hicho. Kama ndo hivo basi yafaa sana Mrussi alishe tuu hao mbu ili akili zimkae sawasawa. 💉 💉Hawa mbu wana maradhi. Wakimwagwa kwenye kambi ni mtafutano.. Wananusa damu ya binadamu. Wana siku za kuoshi, na imbali wa Kuruka. Hawazaliani. Hawa ni wa maabara. Ni kama mayai ya kisasa utake yatotoe. Ni mambo ya Teknolojia...
Mfano wale mbu wa Muhimbili wa kula mbu wa Malaria, ukienda Ubungo, Kigamboni au Mbagala huwakuti. Na Urusi wanawaogopa hawa mbu sababu wanawajua. Wanang'ata hata uwe kwenye handaki. Ukisinzia tu yupo na wewe labda Usilale. Yaani ni shida. Wanasafirishwa kwa drones. Fikiria kambi au kwenye store wamage mbu laki moja.. Mtapona? Wanalenga kambi za jeshi na mahandaki.. Kama sehemu ni ndogo adui alipo, wanaleta mbu hata 150 tu. Wanakula basi. Ila nimeambiwa Nyuki na popo wanarudi kwenye nyumba yake. Hata Box ukihamisha kutoka Chalinze ukalipeleka Morogoro, atafika tu na kuingia then wanarudishwa maabara
InshallahBaada ya Kherson, sasa tunahamia Luhansk. Tukiikomboa Luhansk Mrusi wa Donetsk na Zaporizhia lazima akimbie mwenyewe sababu atakuwa anapigwa mbele na nyuma
Vipi amesemaje kuhusu yale masharti ya kwamba mikoa 4 aliyopora iendelee kukaliwa na Mrussi; na vipi response ya Ukraine aliyesema mazungumzo yatakuwepo kwa sharti la Mrussi kuondoa wanajeshi wa Urussi katika ardhi ya Ukraine?Urusi kasema yuko tayari kwa Mazungumzo
Amelambwa kichwa au ni kifo cha kawaida?Kirill Stremousov, Naibu Mkuu wa Mkoa wa Kherson amefariki. Huu ni mwakilishi wa Urusi. Msaliti
View attachment 2411543